BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 979
- 2,671
- Thread starter
- #301
Mkuu nyama ya mamba??...au ni typing errorMrenda kwakweli ulinishinda
Nya ya mamba japoo tamu ila nikivua picha alivyo mbaya inakata stimu
Mkuu nyama ya mamba??...au ni typing errorMrenda kwakweli ulinishinda
Nya ya mamba japoo tamu ila nikivua picha alivyo mbaya inakata stimu
ndiyomamba wa kufugwaMkuu nyama ya mamba??...au ni typing error
Nenda Bagamoyo utapata nyama yake wanauza semabeighali, Ustralia ndo sana tu
Mimi mtaalamu wa mlenda nawachora tu hapa
Huujui mlenda wewe, juisi ya miwa ni takataka.Mimi juice ya miwa na mlenda ivyo vitu siwezi
Ayo makitu mwenyewe huwa nayachujaga pembeni ya sahaniUtumbo
Biringanya
Nyanyachungu
Ayo makitu mwenyewe huwa nayachujaga pembeni ya sahaniUtumbo
Biringanya
Nyanyachungu
Loshoroo ,, umenikumbusha kwa wameru aiseeRosholoo (sijui nimepatia wachaga mnisaidie)
Tuseme ukweli
Ugali na kabichi ni kula ili tusikufe tu
Nashangaa kwanini watu wengi humu wanachukia kabichi, mimi ile ikaangwe tuu na kitunguu unashushia na samaki wa kukaanga pamoja na ugali mkubwaaiyo kitu ni tamu sana ukute kabichi za karanga
Nashangaa kwanini watu wengi humu wanachukia kabichi, mimi ile ikaangwe tuu na kitunguu unashushia na samaki wa kukaanga pamoja na ugali mkubwaa