Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Haya mambo yapo na kwa taarifa yako yapo katika kila sekta ikiwemo kwenye maduka, vyombo vya usafiri, ofisi za watu binafsi na hata za serikali. kimsingi jamii imeoza na wale wanaoonekana waadilifu ndio wanongoza kwa maovu. kimsingi watu wenye sifa ya kuwanyooshea watu wengine kidole ni wachache. fikiria anayeuza chakula kishirikina anaumbuliwa na wachawi na kuzomewa na watu miongoni mwao wezi,malaya matapeli, wambea, wachonganishi, wabakaji. fikiria kwenye mjengo wanaingia kwa nguvu za giza, fikiria wanatunga sheria hawautambui uchawi, fikiria wanalaani wanawake wanaojiuza na wakati wa kusanyiko la mjengoni wanaojiuza wanahamia huko unazani wateja wao nikina nani.
Mama ntilie anauza chakula kwa mkono wa binadamu, kuna mengi tusiyojua yaliyotumika kusimamisha magorofa tunayoyaona, yaliyotumika kujenga viwanda tunavyoviona n.k, nk

itaendelea
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]waiting eagerly to hear more

Jr[emoji769]
 
Halafu na maji yaliyotumika kuoshea maiti yanahusika pia.
 
Kuepuka kula au kutumia vitu vya washirikina ni ngumu, utafika mahali watoa huduma za aina yyt unayotaka ndio hao hao.Unajua asilimia kubwa ya nguo za mitumba ni makafara ya watu na yanaspirit hai kabisa, unajua baadhi ya mawigi (yapo aina tofauti) ni nywele halisi za binadamu na zinaspirit hai hasa zinazotoka nchi za kiasia, baadhi ya parfume pia zina spirit na unapo tumia unajiungamanisha na roho fulani. wapo wanao tumia kwa kujua na wengine pasipo kujua athari zake. Miaka ya nyuma hapa dar mtaa fulani k/koo kulikuwa na duka moja walikuwa wanauza/ unaweza kununua kiungo chochote cha binadamu kama kidole,pua,sehemu za siri n.k, sijui kama lile duka bado lipo. Na hivi vitu vina athari sana kwa watumiaji hapa sitafafanua kwa sababu sio mada yake, isipokuwa unaweza fanya yafuatayo kupunguza madhara.
kabla ya kutumia huduma yyt omba/ ombea/takasa kwa imani yako
chunguza kwa makini ( pay attention) kabla ya kufanya chochote, hapa kama kuna hila waweza jua
kama huduma yyt nafsi yako inakataa kama sio lazima achana nayo . hayo ni kwa uchache
 
.
 
Write your reply...
MSHANA JR umesahau na maji yaliyooshewa maiti nasikia yanafanya chapati ziwe laini
 
...mkuu Mshana, huyo dada yangu wa kwetu Waja leo Waondoka Leo aliishiaga wapi?
Taarifa za mwisho za uwepo wake hapo zilisemaje?
 
...mkuu Mshana, huyo dada yangu wa kwetu Waja leo Waondoka Leo aliishiaga wapi?
Taarifa za mwisho za uwepo wake hapo zilisemaje?
[emoji23][emoji23][emoji23]hata sikumbuki
 
M
Mshana tena.........!!
 
Mkuu kwenye nywele ni wachache sana hapa bongo wanaweza kununua nywele original. Bei yake ni sawa na ya vits mpyaaa. Haya mawigi ni ya katani tu.
 
Mkuu kwenye nywele ni wachache sana hapa bongo wanaweza kununua nywele original. Bei yake ni sawa na ya vits mpyaaa. Haya mawigi ni ya katani tu.
Katani bado ni ghali... Ni mapalastiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…