Hapo hapo zilikufa zile ofisiKushonwa bila Bila ganzi aisee sipati picha maumivu yake, Umenikumbusha Bosch siku hizi kwisha habari yake,Hivi gazeti la jitambue ndio liliondoka na muasisi wake Munga, nakumbuka ofisi yake ilikuwa maeneo ya Bosch kwenye bondeni pale, Nimepamiss Kona, Rombo, Kibo, msewe baruti
Hii inaweza kufanya kazi kama viagra bila shakaHuwa Najiuliza sana je hata hizo chai za vibandani tunafanyiwa haya? View attachment 693279imagine ndio kaambiwa na mganga wake afanye hivi.. Je atakataa? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Napapenda sana pale maeneo
Wa baba mkwe wa mdogo wanguMhm pole wa nani tena!?
Jr[emoji769]
AminPole... apumzike kwa amani
Jr[emoji769]
Ooh sawaNageuza kesho.... Niko njiani naenda Nyamisati maramoja
Jr[emoji769]
Huyo anayekula na familia yake ni mzuriKuna mdada maeneo yetu anapika chakula baaab kubwa, ila naye pia anakula hichohicho na watoto wake, watu wanampendea chakula chake km cha nyumbani, sijui km hapati hasara yule mdada
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapishi wengine wanakupa huo msosi hadi unajiuliza amekuona bata au anakudharau, maana mchele hovyo, ugali wachambuka km keki, na hela unatoaHuyo anayekula na familia yake ni mzuri
Jr[emoji769]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] na bado kakifanyia featuring ya matunguliWapishi wengine wanakupa huo msosi hadi unajiuliza amekuona bata au anakudharau, maana mchele hovyo, ugali wachambuka km keki, na hela unatoa
Sent using Jamii Forums mobile app