CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

sasa sweetie!
Nimekuja my love!
Afu shuka la leo zuri!
Na gauni laini yani....
Aah acha kunibania.. My
Mmm! Af wamoto kweli..
Sweetie wangu.. AD



MAKUBWA!! Hapa vigezo na masharti havijazingatiwa kabisa!!! lol
 
Habari wana JF….. :poa


Jamani is it me ama jamvini kumepoa saana mida hii??
Sina hata topic hapa... Akili haijakaa ki-serious....
Sijachoka... Sina usingizi... Sina movie mpya ya kuangalia..
:A S embarassed:
Hivo sina ujanja... Please alonayo leta story/umbea/topic
yoyote ile tu-chat.


Take note: Story/umbea/topic yaweza badilika yeyote aweza
leta yake or akajiunga kwa iliyopo tayari....


P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)

Next time Please Call befor you come over!
 
Aisee madridi wako safi! Kumbe hawajafungwa goli hata moja kwenye champions league?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom