Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
umbea...upo wa kumwaga!huku kipya ni admin ye2 inabana madenti balaaa,maisha yamekuwa kama sumu,machafu kibao yanafichuka...ukitaka kujua zaid,,,dnt wory ntawatel soon
Husninyo hata sijui nikwambie nini ,,ila nitakucheki tuchonge kidogo..
Nilikuwa bado natafakari ndoa ya Kim K iliyodumu siku 72...
Habari yako R'
mpaka sahv bila bila. Lol.
Mambo yako vp?
AD nikwambie kitu?
Safi aise
Nilikumiss mbaya pamoja na PA sijamuona siku ya tano leo mpaka home kahama
Sijui kawekwa wapi
Namimi nimeanza wasi wasi.... Nimeanza ku-observe ni dada gani pia kapotea maana PA hafai... Hivi Sweetlady umemuonapo kweli??
Utakubali?Tafadhali sema.... Check hadi Preta anataka kujua hapa chini....lol
Utanisaidia?mwambie....
Naogopa kung'atwa......Jamani Zanta hebu sema kwanza bana!!
Utakubali?
Utanisaidia?[/QUOTE]
nitakusaidia sana.......