AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
- Thread starter
- #321
heheeh hapa kweli tunajiachia, ma stress yote kwishnei, hata kibuti cha husninyo hakinisumbui tena
Ubarikiwe Ashadii (source: Miss Judith ambae tangu aolewe haonekani, imekula kwetu)
Mie nikushukuru wewe kwa kuitendea HAKI thread.....lol... (wee na Husny hata siwaelewi, sio ajabu akaja sasahivi hapa na mkafuatana kama kumbi kumbi...lol)
mia... Source; fignig