Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 59,141
- 69,599
ZabayangaHuyo jamaa sijawahi kumwelewa...sometimes kama hazimo hivi
ZabayangaHuyo jamaa sijawahi kumwelewa...sometimes kama hazimo hivi
Na usomi wote anaishia kushika mikasi na utepe nimatumizi mabaya ya resourcesMpango anatakiwa awe kama Samia alivyokuwa kipindi cha Jiwe au Bilal na Shein walivyokuwa kipindi cha Kikwete
Dr. Mpango ni changamoto kubwa, na nadhani kwa sasa kichwani hayuko sawaTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Huyu ni kiongozi mbovu balaa hajui hata anafanya nini?Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Upo sahihi kabisa mkuuDr. Mpango ni changamoto kubwa, na nadhani kwa sasa kichwani hayuko sawa
Hivi akiagizwa na Rais kufanya hivyo atamwambia hiyo siyo kazi ya Makamu wa Rais???Kwa Kumbukumbu Kawawa alikuwa Waziri Mkuu. Hata kama alivikwa cheo cha Makamu wa Pili wa Rais bado alikuwa na Authority kama Mkuu wa Shughuli za Utendaji Serikalini. Lakini Makamu wa Rais sidhani kama Chain of Command inampasa afanye hivyo anavyofanya.
Bado haamini kama kamuacha na alikuwa anampa kichwa snHuyu yupo kwenye kundi la mwenda zake, Samia alikosea Sana kumpendekeza huyu, na alipokuwa makini atampanda kichwani
Kwenye sakata la bashiru huyu yumo
Sitashangaa siku nikisikia Mpango ameteua hata wakuu wa mikoaKwa Kumbukumbu Kawawa alikuwa Waziri Mkuu. Hata kama alivikwa cheo cha Makamu wa Pili wa Rais bado alikuwa na Authority kama Mkuu wa Shughuli za Utendaji Serikalini. Lakini Makamu wa Rais sidhani kama Chain of Command inampasa afanye hivyo anavyofanya.
Kuna tofauti kubwa kati ya kuombwa kutoa ushauri na kutoka hadharani tukoa matamshi ya issues za kiutendaji nje ya portfolio yake kama VP. Yeye ajikite kwenye portfolio za mazingira na muungano vinginevyo inatoa taswira kama vile anataka kum- overshadow mama kinamna..Mama mwenyewe siku anahutubia alimpa hiyo kazi na kumbuka hata yeye alisema nitafanya kazi zangu na maagizo yoyote kwa Raisi nitakeleza. Mama alimwambia anataka amsaidie katika mambo ya uchumi kwa hiyo hana kosa lolote akipewa kazi hawezi kusema hii sio kazi yangu, kila Rais ananjia zake za kufanya kazi. Kusema hana mamlaka nao sio sawa maana hata waziri mkuu hana mamlaka na waziri yoyote au wateuliwa wengine lakini haifanyo kutofanya kazi jana tu Tanesco wakurugenzi kasema hawa sina mamlaka nao lakini kawapa maagizo.
Sasa wewe unaejua vifungu njoo na hivyo vifungu tuone Umahili wako Mkuu. Majukumu ya VP kwenye Muungano yako Mahsusi Kikatiba. Sasa wewe unaetaka kuhalalisha Maajukumu mengine kiutendaji njoo na Hivyo Vifungu
Nadhani siku anamuapisha kasema pamoja na majukumu yake ya kikatiba lakini anamtaka akamsaidie katika ukusanyaji wa mapato na kubana matumizi ya serikali ingekuwa ushauri tu wala asingesema ila kampa majukumu nje majukumu ya kikatiba.Kuna tofauti kubwa kati ya kuombwa kutoa ushauri na kutoka hadharani tukoa matamshi ya issues za kiutendaji nje ya portfolio yake kama VP. Yeye ajikite kwenye portfolio za mazingira na muungano vinginevyo inatoa taswira kama vile anataka kum- overshadow mama kinamna..
wewe inakuuma nn acha upumbavu wakoTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Kinachoshindwa kueleweka ni ukweli kuwa makamu wa rais ni rais msaidizi. Anafanya kazi kadri ya maagizo ya rais. Anapotoa maagizo mbele ya umma anafanya hivyo kwa makubaliano kati yake na bosi wake.Mkuu, hii ya kwako sasa ni mpya!
This is the settled principle: He who alleges must prove!
Huwezi kumtuhumu VP kwamba anatoa maagizo ambayo yako nje ya mipaka ya kazi yake halafu ukamtaka mtu mwingine ndiye athibitishe kwamba maagizo ya VP yamo ndani ya mipaka ya kazi yake. Huo utaratibu haupo. Unapaswa kutuonesha mpaka wa kazi ya VP Kikatiba na jinsi ambavyo maagizo ya VP yamevuka huo mpaka!
Muha ni muha tuTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Kwa hiyo reserve haruhusiwi kupasha misuli? Mama Samia wakati alipokuwa makamu alikuwa akiongea mambo ya nidhamu kwa wateule kawaida tu mimi nashangaa chuki za nini Mama mwenyewe karidhika sisi ndio tunaumia. Wa Tanzania tuna shida sana hakuna zuri kwetu angekaa kimya tu ungesikia hili limezubaa hata halimsaidii Mama.wewe inakuuma nn acha upumbavu wako
Mpango anatakiwa awe kama Samia alivyokuwa kipindi cha Jiwe au Bilal na Shein walivyokuwa kipindi cha Kikwete