portifolio Kikatiba VP anayo kwenye Mazingira na Muungano. VP hana Mamlaka yoyote kwenye Utendaji wa Serikali. Ni ceremonial position, Ni reserve, Ni spare ya Presidaa ikitokea (Mungu aepushe)Tuacheni wivu wajameni ,,,,,President,VP na PM hawa wote wana diverse portfolio
Makamu naTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Samia ni rais wa katiba makamu ndio mrithi wa magufuli. Magufulists ndio tunajua hii kitu. Mpango ndio guarantor kusongesha mbele umagufuli akisaidiwa na kassim majaliwa. Njama analitambua hilo.Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Ha ha ha umenifanya nicheke kweli mkuu, ila Mpango toka augue hayuko sawa kbs, labda ndiyo maana alitolewa kwenye fedha akapewa huo UmakamuHuyo jamaa sijawahi kumwelewa...sometimes kama hazimo hivi
Sasa hii italeta shida Mkuu. Kumbuka Powers za Hayati Magufuli alikuwa anazi exercise kwa back up ya Katiba, japo kulikuwa na Mapungufu but Katiba ilimpa Powers. Sasa Hii Power za kujivisha bila back up ya Sheria mama zitaleta shida kwenye utendaji. Zitawachanganya wateule. Na Nguvu ya Rais itakuwa divided, itapelekea kumpunguzia Mamlaka. Wale jamaa wa Makumbusho hawatakubali, wameapa Kumtii Rais.Makamu na
Samia ni rais wa katiba makamu ndio mrithi wa magufuli. Magufulists ndio tunajua hii kitu. Mpango ndio guarantor kusongesha mbele umagufuli akisaidiwa na kassim majaliwa. Njama analitambua hilo.
Ndio Hivyo MkuuDah! kwahiyo likitokea la kutokea kwa Mama huyu Mpango ndio anakuwa amiri jeshi mkuu?
Dah! kwahiyo likitokea la kutokea kwa Mama huyu Mpango ndio anakuwa amiri jeshi mkuu?

Mungu aepushie mbali aisee.Hakuna,hakujaza sukari wala chunvi ni kweli “ Nyerere alitoa machozi “ siku anaaga kuhusu Kawawa!!Eeeenhee Heee,
Wewe mtu una historia..., halafu humo humo unajaza sukari na chumvi.
Eti "Nyerere alitoan machozi..."!
Huyu kwa makusudi amepewa sauti ili iwepo balance ya kiuongozi.Sasa hii italeta shida Mkuu. Kumbuka Powers za Hayati Magufuli alikuwa anazi exercise kwa back up ya Katiba, japo kulikuwa na Mapungufu but Katiba ilimpa Powers. Sasa Hii Power za kujivisha bila back up ya Sheria mama zitaleta shida kwenye utendaji. Zitawachanganya wateule. Na Nguvu ya Rais itakuwa divided, itapelekea kumpunguzia Mamlaka. Wale jamaa wa Makumbusho hawatakubali, wameapa Kumtii Rais.
Namba 1 alikabidhiwa na rais baada ya kuapishwa kuwa amsaidie kushughulikia hiloTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Sio Macela kweli?Kwani nani alikuwa makamu wa Mwinyi?
Huyo ndiyo 'template' inayomfaa Mpango, siyo hao jamaa wengine.
YesMakamu na
Samia ni rais wa katiba makamu ndio mrithi wa magufuli. Magufulists ndio tunajua hii kitu. Mpango ndio guarantor kusongesha mbele umagufuli akisaidiwa na kassim majaliwa. Njama analitambua hilo.
Katiba...Tuacheni wivu wajameni ,,,,,President,VP na PM hawa wote wana diverse portfolio
Kazi yake ni kutembea na mkasi mfukoni kwa ajili ya ufunguzi wa hafla mbalimbali.Mpango anatakiwa awe kama Samia alivyokuwa kipindi cha Jiwe au Bilal na Shein walivyokuwa kipindi cha Kikwete