Charlie Chaplin alikuwa anaact ukomedi kuhusiana na real life ya watu, nchi, alikuwa ni mtu fulani kama wa kipolitics hivi, alikuwa anaonyesha problems watu walizokuwa wanazipata that time kwenye jamii, ana tofautiana kidogo na Bean, yaani Bean vituko vyake ni vituko vya kichizi hasaa, Bean, ni stress remover wangu mkubwa Duniani