Chaguo zangu wiki hii...


Haya ndio malengo ya waziri wetu wa ujenzi John Pombe Magufuli, anataka kulifanya jiji la Dar es salaam liwe na mandhari kama haya.Tumpe muda na asiingiliwe katika utendaji wake wa kazi.
 
Kama ni kweli basi Mungu nijalie nisioe, nipe nguvu ya kutooa, nife nikiwa peke

Kwa mtazamo wangu maamuzi yako sio sahihi kwani hata mwenyezi mungu alimwambia Adam kuwa nendeni ulimwenguni mkazaliane.Na kuzaa bila mke tafsiri yake ni uzinifu,kuoa ni lazima cha msingi uchague aina ya mke utakaemtaka kwa kuzingatia kabila,dini,muonekano wa nje na wa ndani,familia yake, kazi yake na mengineyo.
 
Inategemea na mtu tu na uelewa na makubaliano yenu, na mnamatch vipi, kazi tu hiyo!!
 

Siku za leo ni ngumu, sema ubahatishe kitakachokuja utajuana nacho mbele ya safari!!
 
Ana ndoto nzuri,
ni lazima tumsapoti,
Anaota mafanikio,
akijua uwezo tunao.

Mafukara wa akili,
huiga wakoloni,
Mkoloni aliiba Tanzania,
na kupeleka ulaya.

vibaraka weusi pia,
Waiibia Tanzania,
wapeleka ulaya bila aibu,
huku wakijiona wajanja,
wangekuwa na akili lau kidogo,
wangeenda kuishi huko.

Chenge na wenzake hufurahi,
akaunti zao zikijaa vijisenti,
ndoto zao ni nyonga na viuno,
akili zao makalio matupu.

Na wale wenye 300 billions Uswis,
Ndoto zao ni Wao na wake zao,
Wameiba wameharibu na kutapanya,
bado watamani hata maziwa ya watoto?
 
Hivi kwanini urembo huu ukiwa dukani kunakuwa hamna tatizo kuangalia lakini ukivaliwa sehemu husika na ukapepesa macho yako lazima utahisi mapigo ya moyo yameongezeka?
 
ah! ila kapendeza aisee ishu hapo ni kwenye nguo yaani huwez kuvaa nguo ikakaa vizuri unlss iwe ni tumbo cut
 

Tabu ya usafiri jijini Dar es salaam inawalazimu hata dada zetu wawa wakakamavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…