Chaguo zangu wiki hii...

jchofachogenda

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
537
Reaction score
123
Hebu angalia vizuri macho ya huyu jamaa halafu funguka useme yaashiria nini?




Huu Urembo unanishangaza...





Taabu ya usafiri unafundisha dada zetu ukakamavu....




Face book inaleta balaa makazini...

 
Jamaa hapo alikuwa anajikunjua....ha ha ha haaaaaaa
 
Kama mke wako ni mcheza show wa mziki wa dansi inakulazimu kuwa mvumilivu wa mambo mengi sana.Huu ni mfano tu kuna mengi yanafanyika kwa kinadada hawa.
 
jamaa kaachiwa kijungu....basi jicho limemtoka kama tochi vile
 
Anakookokooo joaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Duuuh nirahaje?
 
Ngoja waje wenye wake wacheza show! Napita..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…