Inawezekana hata January mwenyewe asingependa afuate nyayo za baba yake.Siasa: Ni wazo jema kufuata nyayo za baba . . .
Mchukia Fisadi said:Kama Kikwete kama January. Baada ya October 31 kama wakifanya makosa watu wa Bumbuli watabaki kwenye kilio kile kile kwa miaka mitano. Naomba mod uitunze thread hii kama ukumbusho.
Habari ndio hiyo...Mchukia Fisadi,
..January Makamba hana mpinzani ktk nafasi ya ubunge jimbo la Bumbuli. kwa sasa hivi, anasubiri kuapishwa tu.
..Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, naye hakupata mpinzani kwa hiyo na yeye anasubiri Nov aapishwe.
sasa kama hawajachaguliwa.. inakuwaje ni "chaguo"..?
Mkuu, hebu tangaza nia 2015...sasa kama hawajachaguliwa.. inakuwaje ni "chaguo"..?
Mbona hii haina shida, kama watu wa Bumbuli wanamtaka huyo, baada ya 31st October itakuwa wazi tuu, labda kwa hali yao halisi wanaona ndio suluhisho. Kule Kagera kulikuwa na mbunge akiitwa Zimbihile alikuwa akichaguliwa kila kukicha pamoja na kuwa wakati wote akisinzia bungeni, pia Ruwangisa amabaye alidiriki kuwaambia wapiga kura kuwa pesa zangu ndio zimenichagua. Sasa huyu naye atasema kama si baba ..........mh ?all in all ndio siasa zetu za watu kudhalilishwa bali wakiendelea kusema kidumu chama cha ...... watamalizia wenyewe.Mkuu, hebu tangaza nia 2015...
Mzee Mwanakijiji jifunze kusema hivi "Let it go";
Wewe na mimi na wa2 wa Bumbuli yanatuhusu nini? wewe ni mpiga kura wa jimbo hilo? hapana, wewe ni mwanachama wa CCM au chama chochote kilichosimamisha mgombea kwenye hilo jimbo? no... please mzee.
Hivi kwa mfano tarehe 31 Oct asitokee hata mtu mmoka kupiga Kura, yaani January hana kura hata moja Sheria inasema chochote katika hili?
wewe inaonekana wazi kuwa upo usingizini. January amekuwa chaguo la Bumbuli kutokana na msimamo wake juu ya maendeleo ya Wanabumbuli na Watanzania kwa ujumla.Sasa huyu naye atasema kama si baba ..........mh ?all in all ndio siasa zetu za watu kudhalilishwa bali wakiendelea kusema kidumu chama cha ...... watamalizia wenyewe.
Mzee Mwanakijiji jifunze kusema hivi "Let it go";
Wewe na mimi na wa2 wa Bumbuli yanatuhusu nini? wewe ni mpiga kura wa jimbo hilo? hapana, wewe ni mwanachama wa CCM au chama chochote kilichosimamisha mgombea kwenye hilo jimbo? no... please mzee.
Nimekusoma mkuu, zaidi nenda kajibu thread ya chupa za maji na uchafuzi wa mazingira...Sijui kama hili limebadilishwa since then.
wewe inaonekana wazi kuwa upo usingizini. January amekuwa chaguo la Bumbuli kutokana na msimamo wake juu ya maendeleo ya Wanabumbuli na Watanzania kwa ujumla.
Katika karne hii, tunahitaji watu wa aina yake, ambao wanaweza kubadilisha maisha ya wengi katika kuelekea katika maendeleo binafsi na ya taifa kwa ujumla. Zaidi wananchi wa Bumbuli wameona kitu ambao wewe hujakiona!
Unless sheria ya uchaguzi itabadilishwa, na watu wa Bumbuli watapewa nafasi ya kumpigia kura, January hawezi kuwa chaguo la Bumbuli kwa sababu ataingia bungeni bila kuchaguliwa.