Let me be the devils advocate here:
If i am reading this correctly, it seems that the constitution does not specify exactly what should take place kama vyama vingine havita register majina ya wagombeaji wao on time. If this is correct, then kupitishwa kwa kijana huyu bila direct voting is neither constitutional nor it is unconstitutional.
May be what should have happened is for kamati ya uchaguzi (or whatever it is called) to sit down and decide what should have proceed before making the decision. Come to think of it, that should have been the right thing to do. But how independent is this kamati, is another question!!?
Now that this has come to light and wananchi wanaona ni utata, one would hope that a constitutional amendment follows, if indeed this issue was never clarified in the first place.
PlancScale,
Kwangu mimi katiba katika ibara ya 66 imeainisha vizuri wabunge wanapatikana vipi, na hii habari ya kupitishwa bila kupingwa haipo katika jinsi za watu wanavyopata ubunge katika katiba yetu.Na Ukisema "neither constitutional nor unconstitutional" kwa maana ya kwamba haijawa defined nitakubali, lakini mimi napenda ku err kwenye side ya caution katika mambo kama haya.Nafahamu si lazima sheria na miongozo mingine iwe katika katiba, katiba inatakiwa kuwa a lean primary document. At the same time, katiba si document ya ku diverge from na kuanza ku introduce vitu ambavyo havimo ndani yake, ni document ya kutoa mwongozo, sheria zote nyingine zi converge towards katiba, na kama kuna kitu hakikuonwa mwanzo, mabadiliko yafanyike au kingine chochote ilimradi kisifanyike kitu ambacho hakipo katika katiba.
Kama jambo halijaruhusiwa kikatiba kwangu mimi ni sawa na limekatazwa, kwa sababu utajuaje kwamba halijakatazwa wakati hujaona kama limeruhusiwa ? Sheria mara nyingi huweza kueleweka vizuri zaidi tukichukua "the spirit of the law" rather than "the letter of the law". Na tukiangalia spirit ya sheria ya kikatiba kuainisha kwamba wabunge watapigiwa kura na wananchi, tunaona kwamba spirit ni kudumisha demokrasia ya wananchi kujiamulia wenyewe viongozi wao, sasa huyu mbunge atakayepitishwa tu bila kupigiwa kura na wananchi uwakilishi wake una uhalali kweli ?
Hii sheria ukiiangalia sana ina mizizi katika "demokrasia" ya chama kimoja, ambako scenario ya chama kimoja, hakuna mgombea binafsi na hakuna watu wawili wa kushindania kiti ilifanya chama kwa hatamu zake kiamue kumpitisha mtu tu. Lakini leo the stakes are higher. Hata kama wapinzani hawatakuwa na mgombea najiuliza hili swala lita set precedents gani? Matajiri si watahonga wapinzani wao tu na kuingia bungeni bila hata kupigiwa kura na wananchi ?
Mimi ningependa kuona kura ya "NDIYO/ HAPANA" na wananchi wanapata nafasi ya kumchagua mbunge wao, hata kama ni kuhakikisha mbunge anakamilisha matakwa ya katiba tu.
CCM wameweka mabango yanayomsema January Makamba kuwa ni "Chaguo Letu" for sure CCM ni chaguo lao, kashinda kura zao za maoni.Lakini kama hakutakuwa na kura ya "NDIYO/ HAPANA" Bumbuli wananchi wasio wanachama wa CCM Bumbuli wataikosa haki hii ya kmchagua na kusema chaguo letu (assuming wanataka kufanya hivyo0 na hata January mwenyewe atakosa haki yake ya kimsingi ya kuchaguliwa na wananchi.
Wanasema kitanda hakizai haramu, lakini process yetu itatupa a bastardized MP, unnecessarily ukizingatia vielelezo vyote vinaonyesha angepigiwa kura angeweza hata kupata ushindi mkubwa tu, pengine hata kushinda alioupata katika CCM primaries.