Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
Tafadhali chagua!
Wigi ni kitu cha kupita tu kama mwanaume kunyoa panki. Mwanamke anaweza kuvaa wigi asubuhi jioni akawa natural ni sawa na nguo au rasta sio kitu cha kudumu kwa mwanadamu
Naona Natural inashinda hapo
Am naturalNdio muwe natural sasa
Natural bila makucha ya kishetani,mawigi na mikorogo ya kishenzi
Am natural
Tatizo la watoto wa kike wanashindwa kujua nini wanaume tunataka...yani hapo tu.Watoto wa kike wana kazi sanaaa aiseee!
Sura Kwanza
Mguu Mzuri
Nyuma awe na Kitako cha Kichokozi
Awe na Kifua kimtimdo
Natural, hayo madude wanapaka paka siyapendi kwa kweli
Na nyie ipo ya kuhudumia KakaWatoto wa kike wana kazi sanaaa aiseee!
kuna mdomo straight? lolNataka mwenye tako mbinuko kidogo,awe na hips chokozi na viziwa vya kuvutia(sio maziwa ya kuvaa bra yenye size kubwa).Pia mdomo uwe na shape ya curve