Chagua mwonekano unaoupenda kwa mwanamke

Wanaume: Kwa mtazamo wako ungependa wanawake waonekaneje?

  • Natural, bila mawigi wala mikorogo & smart

  • Wavaa mawigi na simple makeup!

  • Wavaa mawigi, na mikorogo kwa sana!


Results are only viewable after voting.
Wigi ni kitu cha kupita tu kama mwanaume kunyoa panki. Mwanamke anaweza kuvaa wigi asubuhi jioni akawa natural ni sawa na nguo au rasta sio kitu cha kudumu kwa mwanadamu
 
Nataka mwenye tako mbinuko kidogo,awe na hips chokozi na viziwa vya kuvutia(sio maziwa ya kuvaa bra yenye size kubwa).Pia mdomo uwe na shape ya curve
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom