Chagua ciello chagua mabadiliko

Chagua ciello chagua mabadiliko

Nashukuru wana chit chat wote kwa kura yenu nusu fainal.nawaomba tujumuike kwenye hii awamu ya mwisho ili tuweze kushinda, mamito@snowhite Madame B Kipipi Natalia@smile@nivea@kaunga@Zinduna@King'asti na wanachit chat wote naomben kura zenu na sapoti yenu.Yes together we can

Aaah wapi!
Kula kwa Cielo, kura kwa mgombea wetu yule yule tuliyekubaliana kwenye kikao cha mwisho...
 
Last edited by a moderator:
Mbona sion pa kupigia kura ciello
 
Nashukuru wana chit chat wote kwa kura yenu nusu fainal.nawaomba tujumuike kwenye hii awamu ya mwisho ili tuweze kushinda, mamito@snowhite Madame B Kipipi Natalia@smile@nivea@kaunga@Zinduna@King'asti na wanachit chat wote naomben kura zenu na sapoti yenu.Yes together we can

unakula yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom