Chagonja: Polisi hatuna ROHO ya KIKATILI kama Hitler!

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,832
Reaction score
566
Mkuu wa Operesheni ya polisi Chagonja amesema kwamba Polisi hawana "ROHO MBAYA NA YA KIKATILI" kama Mtawala wa zamani Adolf Hitla ,ila wanachofanya ni kulinda Raia na mali zao.
Source: Radio free Afrika.

Maswali ya kujiuliza:

(1) Ikiwa ni kweli polisi hawana Roho ya kikatili kama Adolf Hitla, iweje sasa polisi wawapige risasi wananchi wasio kua hata na fimbo siku bomu lilipo rushwa ktk mkutano wa CHADEMA?

(2) Kama ni kweli wao Polisi ni walinzi wa Raia na mali zao ilikuaje juzi baada ya kuwatawanya watu kwa Mabomu yao na risasi na kukimbia(nikiwemo mimi) na kuacha magari na pikipiki, mbona polisi mlivunjavunja pikipiki na kupiga magari risasi matairi na kuvunja vioo?
Binafsi nilikua na gari pale mbali kidogo na uwanja ila wakati watu wanakimbia nilishindwa kuondoa kwa kuogopa kukanyaga watu waliokua wanaanguka hovyo.

Matokeo yake Polisi walitoboa matairi yote manne na kuvunja Sait mirror zote. Cha kushangaza hadi gari linaondolewa pale kwa break down mida ya saa moja lilikua na vioo vyote. Jana asubuhi kwenda kuliangalia polisi tayari kioo cha nyuma kimevunjwa. Nadhani lengo la walio vunja kioo cha nyuma ni walijua labda kuna fedha huko ndani.Kwani gari lenyewe ni jipya na la garama kubwa.

Sio hilo tu lakini magari mengi likiwemo la Diwani wa kata ya Olturoto Mh,Gipson Meseyeki aina ya JEEP limeharibiwa vibaya sana kiasi kwamba halifai tena. Je kwa haya machache tu CHAGONJA yupo sahihi kusema kwamba polisi hawana roho ya Kikatili kama Adolf Hitla?
 
Kwa maoni yangu ni zaidi hitla.... wakati wake hakukuwa na utawara bora, ndio maana alipeleka nchi yake vitani, sasa tunajidai na utawara bora feki, na polici ndio wakandamizaji wakubwa wananchi Tanzania
 
Wanatafuta ukuu wa wilaya wakistaafu si ndio zawadi wanayopewa na CCM baada ya kutesa upinzani.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ukimlinganisha Hitler na Kagonjwa na kwa kulingana na wakati, Hitler atakuwa mwenye heri kwa Kagonja.
.
 
Bora hata Hitler aliwapa watu maarifa wakatengeneza gari zisizotumia maji, jeshi la polisi Tanzania ni zaidi ya Hitler, Hivi Chagonja alikuja Arusha kumtafuta Lema na Mbowe au alikuja kuchunguza tukio la bomu? Yaani tunaona sasa kila akiongea ni Lema, Mbowe, au ndio tirick ya kupotezea watu wasahau? Kama walikuwa na shida na hao viongozi mbona juzi aliongea nao pale Soweto? Kwanini hakuwakamata?
Polisi acheni propaganda kwenye mambo serious, Kwanini aliye sema watu wa Srusha hatafutwi?
 
By the time Komba anaimba "Sasa twende wapi tukapate ushauri.. Mwenzetu, Ndugu yetu, Mwalimu(mwalimu Nyerere)" sikumuelewa kabisa.. Nilikua nawaza u-uniqueness wa Mwl. Nyerere to the extent that Komba akaona hakuna mwengine wa kumreplace.. But NOW I know the reasons.. Hakuna tena mwenye busara kati yao, Hakuna tena, YES HAKUNA, HAKUNAGAH! Imagine, While Others are suffering and lamenting from the bombs attacks, THEY still MAKING MONEY at the Bunge, what a shame!!! Hopeless kabisa, with such situation how could you call yourself eti SERIKALI SIKIVU..! Mwisho wa ubaya ni aibu!
 
Mleta mada pole sana kwa kufanyiwa ukatili na mfumo kandamizi wa ccm.
Cha maana ni kwamba unao bado uhai jwako, na utarekebisha gari lako.
Zawadi yao tunayo jikoni hawa madhalimu.
 
Chagonja anapigia debe nafasi ya IGP kwa kuwa kisheria IGP Mwema muda wake wa utumishi umekwisha. Hii inatokana na kuwa na uongozi usio bora katika taifa hili; kuna rekodi ya makamanda wakatili, wasiofuata sheria ila maagizo haramu ya watawala, na kutumia propaganda za kuwalinda viongozi waovu wamekuwa wakipewa nafasi za uIGP, na kama nafasi hiyo bado inashikiliwa na kipenzi cho kingine wamekuwa wakitunukiwa vyeo.
Udhaifu wa watawala hauwezi kuondolewa kwa propaganda na mabomu
ACHIENI NGAZI!.....
 
Hatutaki kusikia tu polisi wakidai wanalinda raia na mali zao tunataka kuona kwa macho yetu wakifanya hivyo na siyo kupiga raia, kuwajeruhi au kusabisha kifo/vifo katika mazingira tatanishi! "If the theory doesn't match the practice, ingore the theory".
 
Chagonja anataka kutuambia kwenye hiyo orodha ya polisi wasiokuwa wakatili yumo pia na Kamuhanda!!? Naomba niwe wa mwisho kuamini kauli hiyo ya Chagonja. Ningekuwa na uwezo wa kupata maoni toka kwa wafu juu ya kauli hii, ningeyatafuta toka kwa wale wafanyabiashara wa madini wa mahenge wa kwenye lile sakata la Zombe.
 
Hitler alisifika kuua watu wasio na hatia. Polisi ndicho wakifanyacho!
 
Mkuu wa Operesheni ya polisi Chagonja amesema kwamba Polisi hawana "ROHO MBAYA NA YA KIKATILI" kama Mtawala wa zamani Adolf Hitla ,ila wanachofanya ni kulinda Raia na mali zao.
Source: Radio free Afrika.

Maswali ya kujiuliza:

(1) Ikiwa ni kweli polisi hawana Roho ya kikatili kama Adolf Hitla, iweje sasa polisi wawapige risasi wananchi wasio kua hata na fimbo siku bomu lilipo rushwa ktk mkutano wa CHADEMA?

(2) Kama ni kweli wao Polisi ni walinzi wa Raia na mali zao ilikuaje juzi baada ya kuwatawanya watu kwa Mabomu yao na risasi na kukimbia(nikiwemo mimi) na kuacha magari na pikipiki, mbona polisi mlivunjavunja pikipiki na kupiga magari risasi matairi na kuvunja vioo?
Binafsi nilikua na gari pale mbali kidogo na uwanja ila wakati watu wanakimbia nilishindwa kuondoa kwa kuogopa kukanyaga watu waliokua wanaanguka hovyo.

Matokeo yake Polisi walitoboa matairi yote manne na kuvunja Sait mirror zote. Cha kushangaza hadi gari linaondolewa pale kwa break down mida ya saa moja lilikua na vioo vyote. Jana asubuhi kwenda kuliangalia polisi tayari kioo cha nyuma kimevunjwa. Nadhani lengo la walio vunja kioo cha nyuma ni walijua labda kuna fedha huko ndani.Kwani gari lenyewe ni jipya na la garama kubwa.

Sio hilo tu lakini magari mengi likiwemo la Diwani wa kata ya Olturoto Mh,Gipson Meseyeki aina ya JEEP limeharibiwa vibaya sana kiasi kwamba halifai tena. Je kwa haya machache tu CHAGONJA yupo sahihi kusema kwamba polisi hawana roho ya Kikatili kama Adolf Hitla?

Pole mkubwa. Pia wananchi wanaouliwa kwa risasi bila kufanya kosa lolote, wafanyabiashara wa madini waliouliwa, waendesha bodaboda, wanaobambikiwa kesi za uongo hiyo ni roho nzuri? Chagonja kama utasoma hapa au kupewa taarifa na ofisi wako wanaofanya kazi ya kupitia mitandao kuona nn kimeandikwa, ukae kimya, kuna vitu vingine unakurupuka kuongea ambayo havina maana. Vinafanya uonekane mbulula. Polisi inajulikana na kila mtu
 
Bora hata Hitler aliwapa watu maarifa wakatengeneza gari zisizotumia maji, jeshi la polisi Tanzania ni zaidi ya Hitler, Hivi Chagonja alikuja Arusha kumtafuta Lema na Mbowe au alikuja kuchunguza tukio la bomu? Yaani tunaona sasa kila akiongea ni Lema, Mbowe, au ndio tirick ya kupotezea watu wasahau? Kama walikuwa na shida na hao viongozi mbona juzi aliongea nao pale Soweto? Kwanini hakuwakamata?
Polisi acheni propaganda kwenye mambo serious, Kwanini aliye sema watu wa Srusha hatafutwi?
yaani mkuu huyu chagonja namshangaa sana yeye alikwenda arusha kwenye uchunguzi lakini kafika kule kachukua majukumu ya rpc ati kukataza mkusanyiko soweto kwa kuwa wenye uwanja wamempatia barua ya kukataza uwanja wao wewe mwehu hiko ndicho kilichokupeleka? laana inawasubiri utafurahia mafao wewe time will tell tutafunga wote walioleta majibu ya kugushi ya tume za uchunguzi
 
Mkuu wa Operesheni ya polisi Chagonja amesema kwamba Polisi hawana "ROHO MBAYA NA YA KIKATILI" kama Mtawala wa zamani Adolf Hitla ,ila wanachofanya ni kulinda Raia na mali zao.
Source: Radio free Afrika.

Maswali ya kujiuliza:

(1) Ikiwa ni kweli polisi hawana Roho ya kikatili kama Adolf Hitla, iweje sasa polisi wawapige risasi wananchi wasio kua hata na fimbo siku bomu lilipo rushwa ktk mkutano wa CHADEMA?

(2) Kama ni kweli wao Polisi ni walinzi wa Raia na mali zao ilikuaje juzi baada ya kuwatawanya watu kwa Mabomu yao na risasi na kukimbia(nikiwemo mimi) na kuacha magari na pikipiki, mbona polisi mlivunjavunja pikipiki na kupiga magari risasi matairi na kuvunja vioo?
Binafsi nilikua na gari pale mbali kidogo na uwanja ila wakati watu wanakimbia nilishindwa kuondoa kwa kuogopa kukanyaga watu waliokua wanaanguka hovyo.

Matokeo yake Polisi walitoboa matairi yote manne na kuvunja Sait mirror zote. Cha kushangaza hadi gari linaondolewa pale kwa break down mida ya saa moja lilikua na vioo vyote. Jana asubuhi kwenda kuliangalia polisi tayari kioo cha nyuma kimevunjwa. Nadhani lengo la walio vunja kioo cha nyuma ni walijua labda kuna fedha huko ndani.Kwani gari lenyewe ni jipya na la garama kubwa.

Sio hilo tu lakini magari mengi likiwemo la Diwani wa kata ya Olturoto Mh,Gipson Meseyeki aina ya JEEP limeharibiwa vibaya sana kiasi kwamba halifai tena. Je kwa haya machache tu CHAGONJA yupo sahihi kusema kwamba polisi hawana roho ya Kikatili kama Adolf Hitla?

kweli kabisa hakuna askari mwenye roho mbaya ya kikatili kama watu wanavyofikiri, bali ni chuki za watu tu wanazozipandikiza.
 
View attachment 98565

Kwa matukio yenu dhahiri ni tofauti kabisa na maneno yenu. Kama kuuwa watu siyo ukatili, basi neno UKATILI litakuwa halina maana hiyo mdomoni kwa kamishna Paul CHAGONJA.
 
yaani mkuu huyu chagonja namshangaa sana yeye alikwenda arusha kwenye uchunguzi lakini kafika kule kachukua majukumu ya rpc ati kukataza mkusanyiko soweto kwa kuwa wenye uwanja wamempatia barua ya kukataza uwanja wao wewe mwehu hiko ndicho kilichokupeleka? laana inawasubiri utafurahia mafao wewe time will tell tutafunga wote walioleta majibu ya kugushi ya tume za uchunguzi

Aha kaka hapo kidodo hujatumia weledi hizo ndio taratibu zao bwana yeye ndio kiongozi katika eneo lile kwa sasa usipost vitu ambavyo huna ufahamu navyo bhana
 
siku nyingi huyu dogo aliona kadhia ya mipolisi ya bongo mkuu chagonja nyinyi ni zaidi ya hitler mwenzenu alijinyonga asikutane na nguvu ya umma nyinyi baada ya 2015 mtajitumbukiza kwenye tindikali
 
Attachments

Mkuu wa Operesheni ya polisi Chagonja amesema kwamba Polisi hawana "ROHO MBAYA NA YA KIKATILI" kama Mtawala wa zamani Adolf Hitla ,ila wanachofanya ni kulinda Raia na mali zao.
Source: Radio free Afrika.

Maswali ya kujiuliza:

(1) Ikiwa ni kweli polisi hawana Roho ya kikatili kama Adolf Hitla, iweje sasa polisi wawapige risasi wananchi wasio kua hata na fimbo siku bomu lilipo rushwa ktk mkutano wa CHADEMA?

(2) Kama ni kweli wao Polisi ni walinzi wa Raia na mali zao ilikuaje juzi baada ya kuwatawanya watu kwa Mabomu yao na risasi na kukimbia(nikiwemo mimi) na kuacha magari na pikipiki, mbona polisi mlivunjavunja pikipiki na kupiga magari risasi matairi na kuvunja vioo?
Binafsi nilikua na gari pale mbali kidogo na uwanja ila wakati watu wanakimbia nilishindwa kuondoa kwa kuogopa kukanyaga watu waliokua wanaanguka hovyo.

Matokeo yake Polisi walitoboa matairi yote manne na kuvunja Sait mirror zote. Cha kushangaza hadi gari linaondolewa pale kwa break down mida ya saa moja lilikua na vioo vyote. Jana asubuhi kwenda kuliangalia polisi tayari kioo cha nyuma kimevunjwa. Nadhani lengo la walio vunja kioo cha nyuma ni walijua labda kuna fedha huko ndani.Kwani gari lenyewe ni jipya na la garama kubwa.

Sio hilo tu lakini magari mengi likiwemo la Diwani wa kata ya Olturoto Mh,Gipson Meseyeki aina ya JEEP limeharibiwa vibaya sana kiasi kwamba halifai tena. Je kwa haya machache tu CHAGONJA yupo sahihi kusema kwamba polisi hawana roho ya Kikatili kama Adolf Hitla?

Atalipa hapa hapa duniani uovu wanaofanya!
 
Kwa mliosoma historia, hivi kuna siku Hitler aliwahi kuua Wajerumani kwa mabomu? Je aliwahi kumkamata mtu (kama mwandishi wa habari) halafu akamuua kwa bomu, refer to Mwangosi.
Kuna siku Hitler aliwahi kuwabambikizia kesi wananachi wake mwenyewe (Wajerumani)? Kama hakuwahai kufanya hivyo kwa raia wake mwenyewe except Wayahudi and other Nations then polisi wajipime wenyewe, inawezekana wameisha mzidi Hitler mbali sana.
 
Back
Top Bottom