Chagonja: Polisi hatuna ROHO ya KIKATILI kama Hitler!

Chagonja: Polisi hatuna ROHO ya KIKATILI kama Hitler!

View attachment 98565

Kwa matukio yenu dhahiri ni tofauti kabisa na maneno yenu. Kama kuuwa watu siyo ukatili, basi neno UKATILI litakuwa halina maana hiyo mdomoni kwa kamishna Paul CHAGONJA.
Polish ya Tanzania wanaendeshwa kwa remote siyo matakwa yao. Ila tatizo wakitoka nyumbani kwenda kazini fikra na logic huwa wanawaachia wake na waume zao na wao wanaende wakiwa empty wakisubili watumie za mabwana wao ndo maana ya mtendo yao.
 
polisi ni wezi
majambazi
wauaji
majangili
wakatili
kila sifa mbaya unayoifikiria wanayo
 
nchi hii tunaweza kwa tunaongozwa na wagojwa wa akil...UNAONGEA HIVI UNATENDA VILE...
 
Kilichobaki ni polisi kuchukuwa wake zenu maana mmezidi Majungu dhidi ya jesh la polisi.
 
Polisi watanzania ni wakatili wa kutupwa.
Ni mhanga wa hili nitalisema daima na popote niendapo.
Wanapora,wanaiba,wanaua,wanalinda wahalifu n.k
 
Back
Top Bottom