Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,562
- 48,911
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.
Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.
Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.