Mimi binafsi naona ni sawa tu wapinzani kuchukua AR,cha muhimu kiwe chama cha amani na sio wapenda fujo kama CDM.
Nawewe utukome sngda labda taboraKanda ya Kasikazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibu, Kanda ya Kusini -- CCM msahau milele.Uhai wenu kiasi umebakia Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Pwani.
Umesahau kuwataja na wafungwa wenye kesi za mauaji. Akili ni mali. watu wanajadili nini na wewe unaleta nini.Na yule kandarasi diwani aliyesababisha vifo vya zaidi ya watu 20 pale Dar ni CDM? yule diwani wa huko Kagera mwenye kikundi cha mauaji bila shaka naye mtasema anatoka CDM kwa jinsi mlivyo na fikra mgando. Rama wa magogoni naye ni CDM, si ndo manake?? hata yule chizi mkenya mnaweza kumpatia kadi ya CDM ili mhalalishe uozo wenu wa kukipaka matope CDM. Mtakesha sana kuiombea CDM matatizo lakini mwisho wa siku mtaishia kupata aibu.
Imefikia, mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini arusha, ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao, wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu, siku za chadema zinahesabika m paka tufikie uchaguzi 2015.
ha ha ha, singida mwigiru kapiga kambi kuokoa jimbo; mambo madimu sana kule.Nawewe utukome sngda labda tabora
Singida yuko dewji bana, hakuna wa kumtoa hapo.ha ha ha, singida mwigiru kapiga kambi kuokoa jimbo; mambo madimu sana kule.
Chadema Arusha wanaitaji kubadilika.
kuna mjumbe ameuliza ni lini mtaruhusu uchaguzi wa madiwani arusha?Chadema Arusha wanaitaji kubadilika.
dewji? haya majina si ni ya sumbawanga sasa huko singida anafanya nini?Singida yuko dewji bana, hakuna wa kumtoa hapo.
Imefikia, mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini arusha, ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao, wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu, siku za chadema zinahesabika m paka tufikie uchaguzi 2015.
Chadema Arusha wanaitaji kubadilika.
Imefikia, mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini arusha, ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao, wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu, siku za chadema zinahesabika m paka tufikie uchaguzi 2015.
Kutakuwa na uchaguzi wa madiwani kata tano, tutapima hiyo kauli yako kama ina ukweli wowote, mimi naishi Arusha, Chadema is stronger than ever hakuna mtu anajadili kuona CCM inarudi Arusha kama unavyodai wewe, na Kuhusu Lema ni mot wa kuotea mbali ukitaka ukosane na watu wa Arusha msema vibaya Lema!