CHADEMA yazidi kusuasua Arusha

CHADEMA yazidi kusuasua Arusha

Stroke tupe habari za huko Arusha, vp Chadema hawajaleta mvua tena kama ile waliyoleta juzi ikaangusha ule mwamba kule moshono kwenye machimbo ya changarawe? Wanauwa watu sana hawa Chadema. Leta habari bwana Sitiroko
 
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.

Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.

Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.

Namuomba Maulana akutunuku pigo kama jina lako (stroke), upotee kwenye uso wa dunia/tanzania ambapo harakati za ukombozi wa kifikra na uchumi ukiendelea, CDM for liberation!
 
Hili nalo lijingajinga tu, hakika ccm kurudi arusha iliyochini ya lema ni ndoto za barabarani ukiwa unasubiri daladala.
 
Kanda ya Kasikazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Magharibu, Kanda ya Kusini -- CCM msahau milele.

Uhai wenu kiasi umebakia Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Pwani.
Hata Singida, Morogoro na Tabora CCM imo mashakani.
 
sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, ninachokuambia amini ndivyo hali halisi kwa sasa mkoani arusha, chadema ipo hoi

Mkubwa!

Nyie eneo lenu halikuguswa na ongezeko la nauli nini???? Au ukoo wenu umepandishiwa mishahara, eti????? Maana mishipa ilivo kutoka utadhani unaishi Magogoni vile!!!!!

Hebu muambie Jaji Lubuva aitishe uchaguzi kwenye zile Kata alafu uone MOTO wake!!! Kama wana ubavu kwa nini hawaitishi ule uchaguzi?? NANGISHU WEE!!!!
 
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.

Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.

Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.

Wewe mgeni Arusha, nyie ndio wale vijana wa ccm mnaopewa vijisenti mshinde kwenye mtandao mkieneza propaganda dhaifu...Mkitumwa ulizeni na cha kuja kusema humu maana mnaonekana vituko
 
Wewe dunya unaongea nini arifu, atown ndio home mzee, nina haki ya kuandika ninanchoona kinafaa kuandika, hutaki, kalale mbele, halafu mwambie huyo jamaa enu lema ACHE siasa za kijinga kutishia wenzake, kwa kuwapigia simu, habari zake tunazo, kama kujui watu vizuri usijifurahishe na hiyo key board yako kuandika -----
 
Namuomba Maulana akutunuku pigo kama jina lako (stroke), upotee kwenye uso wa dunia/tanzania ambapo harakati za ukombozi wa kifikra na uchumi ukiendelea, CDM for liberation!

Hozo sala kamsalie na mama ako aliekuzaa mwenye akili fupi kama wewe, mwambie lema aje apa abishe kama hajaamuru vijana wake Juliana Lukumay, na tarimo kumpiga na kumtishia diwani wa zamani wa terat, bisha uone ..unajua nini wewe laan tula..huna cha zaidi unachojua zaidi ya kwenda choo tu...
 
Kha ha ha haaaaa!

stroke

Labda ni katika ukø yenu ya mafisadi mwehu wewe! 2015 natamani ingekuwa kesho asubuhi nione utakapojibanza mtumwa mwehu wewe! Pole sana!

Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.

Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.

Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha haaaaa!

stroke

Labda ni katika ukø yenu ya mafisadi mwehu wewe! 2015 natamani ingekuwa kesho asubuhi nione utakapojibanza mtumwa mwehu wewe! Pole sana!

laana ya mama ako inakusumbua, ndio maana unaharisha badala ya kuongea,
 
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.

Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.

Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.

Hapa naona umegeuza kaka kajipange wewe wa Arusha ipi hiyo unayosema ati siku zao zinahesabika hapa una maana kwamba Mccm siku zao zinahesabika sema tu hutaki kusema ukweli Lol kweli huna tofauti na maiti.
 
Matumizi mabaya ya megabites ulitakiwa uzitumie kudownload hata mziki kuliko kuongea kuhusu chadema na arusha hata ukiweka jiwe tunaoishi arusha tutalichagua kwa tupitia chadema
 
Hapa naona umegeuza kaka kajipange wewe wa Arusha ipi hiyo unayosema ati siku zao zinahesabika hapa una maana kwamba Mccm siku zao zinahesabika sema tu hutaki kusema ukweli Lol kweli huna tofauti na maiti.

uko chooni mkuu pole
 
Wee mjinga mtumwa toa mapofu tuu utafikiri umenywesha FOMA GOLD ama OMO mtumwa mpumbavu asiye kichwa hata ya kufikiri zaidi ya kutoa mapofu tu!
Unaona kabisa tunazama ndani ya Nchi yetu nawe kwa tamaa ya kupewa cash ya ugali unakuja kutuona humu jamvini tuna akili kama yako iliyoshindwa hata kujua mema na mabaya?
Utumwa wako one day utaijutia mwehu weee!

laana ya mama ako inakusumbua, ndio maana unaharisha badala ya kuongea,
 
Imefikia mahali kulazimisha kupandisha bendera zao katika vijiwe vya mjini Arusha ili kuonekana kua bado wanakubalika, huku in reality wananchi wamechoshwa na kauli zisizo na tija na utendaji mbovu wa mbunge wao.

Wapo wanaoapa kua hawana hamu ya kuona wala kukisikia tena chama hiki, kutokana na kupoteza mikataba minono ya kibiashara na wageni wa nje, wakihofia hali mbaya ya usalama kutokana na maandamano na kauli tata za mbunge wa Arusha zinazochochea maandamano yenye vurugu.

Siku za CHADEMA zinahesabika mpaka tufikie uchaguzi 2015.

Acha unafiki. Hivi Arusha gani unayoizungumzia? Hata Monduli kwenyewe CCM hawaitaki sembuse Arusha mjini. Uwe mkweli ndugu yangu haumwogopi Mungu wako kwa kusema uwongo kama huu?
 
sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote, ninachokuambia amini ndivyo hali halisi kwa sasa mkoani arusha, chadema ipo hoi

kwenye jukwaa la siasa unafanya nini? nenda kwenye jukwaa la mapenzi ndo linakufaa zaidi:A S 39:
 
Back
Top Bottom