Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
mi nilijuwa upo Marekani na mwalimu wenu
Mnh...!
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Wajinga ndio waliwao..,wamesema waswahili na hawakukosea. Josephine aka mama junior anakausha hazina ya CDM kila kukicha kwa route zisizo za ajabu na kulala kwenye mahoteli ya kifahari bila title wakati wanaopiga kazi huko kwenye kata wanakufa njaa..
Imekuaje Mwigulu ameenda US bila wewe Small House? Au ndio tuseme mara hii tu ameshakuchoka?
Kweli CCM tu ndiyo imebakia sasa, asanteee Shonzaa, sasa namuitaaaa Stela Mwampamba. . . . . .
...hahaahaaaa mkuuu acha assumtion bhana, haka sijui kamatendaji ni kachumia tumbo tu kama mamaa shonza,in anyway huwezi kukituhumu chama kwa kutoshughulika na ishu zako binafsi, ndo kwaanza tumeanza vita dhidi ya mkoloni mweusi aliyejificha ndani ya "amani na utulivu"....wewe Gefu inaonekana hauijui chadema unaisoma magazetini. ungeijua usingetoa kejeli kama hii. au siku ukifikwa na tatizo halafu ukasaidiwa na watu usiowategemea badala ya chadema ndo utaelewa. kwa sasa endeleza uzuzu wako
...tena waacha mama junior akae five star hotel maana kazi zao na kujitoa kwao kwenye chama kuna mchango wa kutukuka, mmmmh..! sikumbuki hata kama uliwahi kufungua hata tawi moja kwa juhudi zako binafsi,but look at what this family has done to this country, mafisadi wanahanyahanya, wezi watembo chali,wauza unga,mianya ya majambazi ya chamachako chaliii, wao na wapambanaji wenzake wana deserve a five star hotel accomodation,wamebadili muelekeo wa nchi na taifa kwa ujumla...
Nyumba inajengwa kuanzia kwenye msingi na msingi wa chama chochote ni matawi , na matawi yako kwenye kata.kweli wakati wa kufa nyani miti yote huteleza.yaani ccm imefikia hatua ya kujadili suala la kiongozi wakata kuwa big deal hata baada ya kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka hamsini.ccm jiandae kuondoka
madarakani.
Eti CDM wamepata pigo?
Yani mijinga mingine ni tabu kweli kweli.
CHADEMA ni kama maji vile kwa namna moja ama nyingi lazima utumie.
Soma alama ya nyakati.
Naona makubwa jinga mnapeana matumaini.