CHADEMA yazidi kumeguka...!

CHADEMA yazidi kumeguka...!

Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.

CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.

Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:

Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

ukikosa busara kwenye jambo hata dogo tu, ni halali kuitwa umefilisika
 
Juliana Shonza what is your problem?kufukuzwa kwako CHADEMA ni kutokana na usaliti wako,siyo kweli CHADEMA hamna lolote, lolote lipo mfano
1.CHADEMA imefanikisha General tyre Arusha haikuuzwa kwa maumvi.
2.CHADEMA imerudisha nizamu za uchangiaji wabunge zamani iliwakuwa wanaanza na kuwashukuru wake zao , sasa waziri au mbunge anaenda moja kwa moja kwenye point, unataka CHADEMA ikufanyie nini ndo uone ina lolote, utasubiri sana wewe mwanamke.

Safi sana kaka
 
Baada ya WanaCCM damu kumshtukia Shonza na Mwampamba kuendekezwa wakati hawajatolea jasho CCM na huku wakiendendelea kula matunda ya kazi ya wenzao kwenye misafara wakawatolea uvivu akina Mchemba, Nape na Kinana, sasa wako nje ya misafara.

Kinachoendelea njaa imeanza kukolea, bora kujiunga na wale wa buku7. Kazi kwelikweli, haya ndio tunayosema mara kwa mara tumia akili yako kupima mambo badala ya kujiingiza kichwakichwa tu kisha unatafuta pa kujishikiza hapashikiki.
 
Mtu kahama kwa matatizo yake binafsi, unataka tutafute mchawi?

Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
 
haishangazi watu wenye akili fupi kukimblia ccm! lakini pia njaa pamoja na ufupi wa akili waliyo jengewa na hiki chama cha kifisadi ndiyo kina fanya wahangaike wali wasijue wanachofanya

Huyo Maja alipata matatizo akiwa anafanya shughuli za CHADEMA?? Mbona haelezi Matatizo gani aliyapata ! Haishangazi watu wengine kurudia matapishi yao !KAMA ALIKUWA CCM BARIDI/MOTO ATARUDI CCM
 
Katibu mwenezi wa kata!!! halafu chadema inazidi kumeguka?! hizi ni akili au matope? umenipotezea muda bure.
 
Juliana Shonza what is your problem?kufukuzwa kwako CHADEMA ni kutokana na usaliti wako,siyo kweli CHADEMA hamna lolote, lolote lipo mfano
1.CHADEMA imefanikisha General tyre Arusha haikuuzwa kwa maumvi.
2.CHADEMA imerudisha nizamu za uchangiaji wabunge zamani iliwakuwa wanaanza na kuwashukuru wake zao , sasa waziri au mbunge anaenda moja kwa moja kwenye point, unataka CHADEMA ikufanyie nini ndo uone ina lolote, utasubiri sana wewe mwanamke.
Kweli chadema wamejitahidi mpaka wameongeza na kipengele cha kupigana na kutukana bungeni safi sana chadema endeleeni kupigana na kutukana bungeni.
 
Ungekua na akili ungegundua kuwa uliloandika linapingana na kichwa cha habari!
Amehamia ccm kwa kuwa alikua na shida zake binafsi na mkamsaidia! So analipa fadhila!
 
Chadema maisha yake hayapo tena hata kwa kuongezewa damu haitapona kabisa lazima ife tu.
 
... we July huyo jamaa ni mchumia tumbo kama wewe, angalia kauli yake eti "nilipata matatizo wakashindwa kunisaidia mpaka nikasaidiwa na ccm" unategemea mtu kama huyu atakaa chadema..!!?? sisi tunasaidia chama sio chama kugawa misaada, kwani imekuwa ccm ? yaani huyu asingetoka mwenyewe tungemtimua kama tulivyokufanya wewe...
Wajinga ndio waliwao..,wamesema waswahili na hawakukosea. Josephine aka mama junior anakausha hazina ya CDM kila kukicha kwa route zisizo za ajabu na kulala kwenye mahoteli ya kifahari bila title wakati wanaopiga kazi huko kwenye kata wanakufa njaa..
 
...........................Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" .................................

Kwa hizi statement tu, inaonyesha huyu ni mbinafsi kama alivyo Juliana Shonza Mtela Mwampamba na wadau woote wanaolitumikia hili Taifa lakini wamefungua Account kwa ajiri ya kuficha huko "Mishahara" yao, na watu wa hivi huwa wanastawi zaidi wakiwa CCM, kwa hiyo amehamia chama muafaka kwake
 
Hivi kumbe na wewe ni mhanga wa hizo buku 7 ! Mbona umeshuka namna hii ? Kweli kabla hujafa hujaumbika !
 
Juliana Shonza what is your problem?kufukuzwa kwako CHADEMA ni kutokana na usaliti wako,siyo kweli CHADEMA hamna lolote, lolote lipo mfano
1.CHADEMA imefanikisha General tyre Arusha haikuuzwa kwa maumvi.
2.CHADEMA imerudisha nizamu za uchangiaji wabunge zamani iliwakuwa wanaanza na kuwashukuru wake zao , sasa waziri au mbunge anaenda moja kwa moja kwenye point, unataka CHADEMA ikufanyie nini ndo uone ina lolote, utasubiri sana wewe mwanamke.
we ndo hovyo kabisa..,haujui hata unaongea nini..
 
Wajinga ndio waliwao..,wamesema waswahili na hawakukosea. Josephine aka mama junior anakausha hazina ya CDM kila kukicha kwa route zisizo za ajabu na kulala kwenye mahoteli ya kifahari bila title wakati wanaopiga kazi huko kwenye kata wanakufa njaa..

Usijali next time tutamwomba Slaa ukuchukue nafasi ya mama Junior!hakikisha passport unayo tuu!
 
CCM hawajakupatia kitengo tu kama walivyokuahidi? inaonekana unaelea elea tu
 
Back
Top Bottom