CHADEMA yawa gumzo Mtwara

CHADEMA yawa gumzo Mtwara

hawa si ndio wale wako radhi kula nyama ya panya aliyekutwa amekufa...kuliko kula nyama ya kuku iliopikwa?
baah somo kuchidika?
Mweh soomo uvekwa achi?

maneno hayo hapo yamenitia huzuni sana, hivi kumbe hata great thinker anaweza kuandika hivi?
 
Kuna jina la asili ya huko Mtwara linaitwa CHILIPUWELI, inasemekana lilitokana na maneno ya Kiingereza SLEEP WELL, walitumia wazungu kuagana wakati wanaenda kulala usiku. Wamakonde kuskia hivyo ndo wakawaita watoto wao CHILIPUWELI.

Napita tu jamani.
 
hayo maneno wanayoongea huko eti cdm inaongelewa huku, hakuna kitu kam hicho huku mtwara kuhusu CDM, majadiliano huku ni CUF jinsi gani watachukua majimbo yote ya kusini.
Maneno ya mfa maji haya....RIP CUF
 
masaburi @ work!. Ss mtwara tumepigika sana na magamba. Kwa hiyo we are ready for anything the change. Long live m4c and viva chadema

usife moyo endelea kuwapika. M4c is coming! Peeeeeeeeeeeeeeeeeeepoooooooooooooooooooosssssssssssssssssssss!
 
Ukweli unaumaaaaaa......
Wachaga wana ubaguzi xana!!!!! Hata marehem baba yangu pale Mikindani aliniambiaaaa..... CDM hamtaweza kukubalika milele!!!!!!

Pili huku kuna waislam tupu, na ule udini mmechemka!!!!! Niko huku Lipwidi, Mtwara Vijijin nalimaaaa!!!!

Ndugu zangu wa Mtwara amkeni acheni ukabila na udini kwenye maisha yenu! Nani kawaambia Chadema ni Wachaga mimi Mwenyewe Ustaadhi lakini nawakubali. Nilishafanya utafiti wa kina nikagundua hawana udini kabisa tena wenyewe ndo wanamashaka kutokana na udini unaoshabikiwa na watu wa pwani. Kuhusu ukabila hilowa halipo tatizo ambalo halijafahamika kwa wengi ni kwamba mwanzilishi wa cdm alikuwa Mzee Mtei ambaye ni mchaga na kama alivyokuwa Nyerere alikipigania chama chake ili kiimarike. Na kwa kuwa kwao ni Kilimanjaro hakuna ubishi kwamba angeanza kukampeni kuhusu chama chake huko nyumbani kwake sasa ikatokea kwamba wachaga wengi walianza kujiunga nacho mathalani pale Augustino lyatonga Mrema alivyopoteza umaarufu wa NCCR! Lakini kwa sasa CDM imestawi sana Tena kwa taarifani kwamba CDM kinanguvu kubwa sana Mbeya Kuliko hata Kilimanjaro sasa Je wanyakyusa ni wachaga??/
Tuiunge mkono CDM inshaalah!
 
Hata Uzini ilikuwa hivi hivi..
Natafuta comment ya Slaa hapa JF siku wawalipoenda Uzini.
Nafikiri wote mliona CDM walichoambulia kule!!
Wewe na wenzio muanze kujipanga kubadili kufungu cha katiba kuhusu kupinga matokeo ya urais hapo 2015 ndiyo njia pekee ya kujifariji.
 
Ndugu zangu wa Mtwara amkeni acheni ukabila na udini kwenye maisha yenu! Nani kawaambia Chadema ni Wachaga mimi Mwenyewe Ustaadhi lakini nawakubali. Nilishafanya utafiti wa kina nikagundua hawana udini kabisa tena wenyewe ndo wanamashaka kutokana na udini unaoshabikiwa na watu wa pwani. Kuhusu ukabila hilowa halipo tatizo ambalo halijafahamika kwa wengi ni kwamba mwanzilishi wa cdm alikuwa Mzee Mtei ambaye ni mchaga na kama alivyokuwa Nyerere alikipigania chama chake ili kiimarike. Na kwa kuwa kwao ni Kilimanjaro hakuna ubishi kwamba angeanza kukampeni kuhusu chama chake huko nyumbani kwake sasa ikatokea kwamba wachaga wengi walianza kujiunga nacho mathalani pale Augustino lyatonga Mrema alivyopoteza umaarufu wa NCCR! Lakini kwa sasa CDM imestawi sana Tena kwa taarifani kwamba CDM kinanguvu kubwa sana Mbeya Kuliko hata Kilimanjaro sasa Je wanyakyusa ni wachaga??/
Tuiunge mkono CDM inshaalah!
Big up mkuu kwa somo ulilowapa.
Hao sio wananchi wa kusini kama wanavyodai, ni magamba wanaoeneza propaganda zao chafu dhidi ya CDM.
Lakini wajue sikio la kufa halisikii dawa!
 
Mtwara wana haki ya kuvua gamba na kuvaa gwanda!
Miaka 50 ya uhuru kwao ni laana na ufukara!
 
Jambo lipo dhahiri, kwamba CHADEMA watalazimika kufanya kazi ya ziada ili waweze kukubalika maeneo ya pwani! Iwe ni matunda ya propaganda au vinginevyo, tayari taswira ya CHADEMA machoni mwa watu wengi haioneshi utaifa kama ilivyo kwa CCM! Inawezekana kabisa kwamba CCM kikaonekana ni very CORRUPT, lakini linapokuja suala la muonekano wa kitaifa, CCM is far better than CHADEMA and even CUF!

Hili, halikuja kwa bahati! Ni dhahiri kwamba, propaganda za CCM zimesaidia kujenga taswira hiyo ya CHADEMA kuonekana enzi zile kwamba ni chama cha Wachaga, ikaja kuwa cha Kikristo na sasa cha kikanda! Kwa bahati mbaya sana, ama kwa makusudi ama kwa ukosefu wa weledi wa kile kinachosemwa “Think All Before You Speak, But Don’ Speak All Before You Think”, imetokea mara kadhaa kauli za viongozi wa CHADEMA kuleta mshabihiano wa yale yanayosemwa na wapinzani wa CHADEMA!! Mbaya zaidi, kosa ambalo lilitokea kwa CUF limerejea CHADEMA! Wakati CUF kikituhumiwa kwamba ni Chama Cha Waislamu, ikatokea Waislamu wengi wakajiunga na Chama hicho na tangu hapo hata mamo ya CUF yakakaa Kiislamu Islamu! Ilikuwa ni jamo la kawaida kwenda kwenye mikutano ya CUF na kukuta full Barkhashia!! Hivyo hivyo, wapo Watanzania wengi tu hivi sasa ambao wanajikuta wanaiunga mkono CHADEMA kwa ajili tu ya Ukristo wao! Hata hapa JF, ukiangalia Wakristo ambao wamekubuhu kwa udini, utakuta ni watetetzi wakubwa wa CHADEMA! Si hilo, utakuta members wengi humu JF ambao Signatures zao ni vifungu vya Biblia, basi wengi wao kama sio wote ni watetezi wakubwa wa CHADEMA! Mara nyingi member hawa hata michango yao utakuta inaegemea zaidi kwenye udini udini kuliko Siasa za kawaida hata kama hoja inayojadiliwa ni ya kisiasa! Members hawa, wanatia kinyaa na wanachangia kwa kiasi kikubwa kuifanya CHADEMA ionekane dhahiri ni chama cha Wakristo!

Harakati za CHADEMA nazo zinazua mashaka mengine! Hata uendaji wa Kusini hivi sasa unaonekana ni kama tu katika kuzima kelele za wapinzani wao kwamba CHADEMA ni chama cha kikanda na chama cha Wakristo! Mbwembwe za CHADEMA kwenda kusini hazijaanza leo….na hata kama wataenda bado hawana hamasa kiasi hicho! Molemo, ametuletea habari za gazeti la Majira…..CHADEMA tuliowazoea si wa kusuiri Majira waandike stori kisha waje hapa kui-paste! Safari, imekosa hamasa!

Kama ilivyo ugumu kwa CUF kukubalika Bara ndivyo hivyo hivyo CHADEMA watakavyopata ugumu wa kukubalika Pwani ingawaje wapo wapumbavu watakaosema kwamba watu wa pwani hawana uelewa! Yaani leo hii Mmasasi ambae anaishi kwa kuhamahama awe na uelewa kuliko mtu aliye-settle sehemu moja!
Mmh! yaani nimecheka hadi mbavu zinaniuma...nimekusoma between the line nikagundua unasumbuliwa na vitu 2.
Kwanza wewe ni mdini sana! na ninaguess wewe ni Islam. Badilika mkuu hizi dini tumeletewa tu na wajanja wakuja.
Pili nafsi yako imejaa chuki kubwa sana kwa Chadema, lakini jiulize swali hili...hivi hawa CDM wasipokubalika Lindi na
Mtwara watashindwa kuichukua nchi 2015 au 2020? Jibu unalo mwenyewe na nijepesi sana kama utashirikisha ubongo
wako.
All in all usipoteze mda wako kwa kutaka kuzuia mafuriko au tsumani kwa mikono yako miwili! Jitahidi kusoma alama za
nyakati...kwani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu! Time will tell
 
masaburi @ work!. Ss mtwara tumepigika sana na magamba. Kwa hiyo we are ready for anything the change. Long live m4c and viva chadema

usife moyo endelea kuwapika. M4c is coming! Peeeeeeeeeeeeeeeeeeepoooooooooooooooooooosssssssssssssssssssss!
 
Mawazo kama haya yako ndizo zilizotufikisha hapa tulipo. CDM is working, elimika mtu wangu!!!

mambo ya ndoa kawaeleze cuf hapa cdm ni sera na ukombozi tu na mtwara wataikubali tu cdm maana ni gari ya ukombozi.
 
Ukweli unaumaaaaaa......
Wachaga wana ubaguzi xana!!!!! Hata marehem baba yangu pale Mikindani aliniambiaaaa..... CDM hamtaweza kukubalika milele!!!!!!

Pili huku kuna waislam tupu, na ule udini mmechemka!!!!! Niko huku Lipwidi, Mtwara Vijijin nalimaaaa!!!!
Umefiriska mawazo kabisa, watu wanangalia UKWELI = (SERA, ITIKADI + WATENDAJI). CDM haijawahi kuitisha mkutano wa injili wala mawaidha kusema wanahuburi dini na hawaendeshi mikutano ya kijadi kuwaita wakabila. Hivyo ASP na TANU (CCM sasa) zilizoanzia Pwani ni za Wazalamo na Waislamu tu
 
hawa si ndio wale wako radhi kula nyama ya Panya aliyekutwa amekufa...kuliko kula nyama ya Kuku iliopikwa?
Baah somo kuchidika?
Mweh soomo uvekwa achi?

Acha matusi ya dharau gwanda imposter! Kenge we....
 
Huu ndio uzuri wa kuanza na Mungu na kutenda kazi kwa kumshirikisha Mungu.Wao wana wakuu wa Wilaya, wakuu wa Mikoa, wana Jeshi ila sisi tuna Mungu!!!!Duh njema sana hiyo.....!!!!
Marehemu Regia mtema alikuwa anaipenda sana slogan hii....'Wao wana dola, sisi tuna YESU'Nadhani ibaki hivyohivyo kwa sababu inawezekana ikawa 'mungu' asiye YESU, mlengwa hapa ni YESU tu!
 
Mmh! yaani nimecheka hadi mbavu zinaniuma...nimekusoma between the line nikagundua unasumbuliwa na vitu 2.
Kwanza wewe ni mdini sana! na ninaguess wewe ni Islam. Badilika mkuu hizi dini tumeletewa tu na wajanja wakuja.
Pili nafsi yako imejaa chuki kubwa sana kwa Chadema, lakini jiulize swali hili...hivi hawa CDM wasipokubalika Lindi na
Mtwara watashindwa kuichukua nchi 2015 au 2020? Jibu unalo mwenyewe na nijepesi sana kama utashirikisha ubongo
wako.
All in all usipoteze mda wako kwa kutaka kuzuia mafuriko au tsumani kwa mikono yako miwili! Jitahidi kusoma alama za
nyakati...kwani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu! Time will tell

Nimecheka mpaka mbavu zinauma hivi hunaweza kuchukuwa nchi na wabunge 23?
 
Ndio hapo, tunaandaa mkakati wa kuikomboa Mtwara!!! Just wait...... Kuikomboa bandari yetu, mafuta na gesi yetu!!!!
kama kweli unaishi Lipwidi basi unamatatizo makubwa kwenye kufikiri.Uchaga sio Ugonjwa ni Kabila ambalo anazaliwa anakuta wazazi wake wanalo.Mbona Mtwara kuna M bunge Viti maalumu Mama Wambura ni Mkulya.Upoandika jamvini usifikiri Mtu wa Mtwara uko peke yako ili udanganye watu humu.
 
Why Arusha wakatimwingine zinapigwa nyimbo za dini kwanye mikutano sababu nini ...kuna yoyote anaweza kunielezea Wanamagwanda ?
 
Back
Top Bottom