CHADEMA yawa gumzo Mtwara

Molemo Rafiki yangu, una uhakika na unachokisema kweli?

Nina uhakika asilimia mia moja.Mungu hashindwi na chochote.Hakuna mwanadamu mwenye uwezo kumshinda Mungu.Na ndio maana hila za wanadamu zimeshindwa kupunguza kasi ya CDM.Mwacheni Mungu na aitwe Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Huyo anayeleta habari za ukabila, ni mkuda. Mimi nina rafiki yangu mchaga na ameolewa na Mmakonde na wanaishi mtwara, we unafanya mchezo kwenye mapenzi nini? mapenzi yanaezua hata paa la nyumba sembuse ukabila. Nafikiri unahitaji ushauri nasaha wewe, wacha M4C wapasue mawimbi mwanaaa, alaaaaaa
 
Mtwara tumechoka sana wakuu ,huku fikra zetu zimeganda balaa tunaomba hao chadema watuchangamshe ili na sisi akili izibuke.karibu jamani Tumeteseka sana miaka 50 pamoja na kutoa rais tuko kama mazuzu welcome guys M4C FOREVER
 
Msijali wakuu M4C ndiyo hiyo inakuja wiki ijayo
 
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!

Acheni Ucheshi.
Mikoa hiyohiyo ndio mnalalamika haina maendeleo ukilinganisha na kaskazini. Mnadai Imetelekezwa na CCM
Wakati huohuo unasema wanauelewa, na hawakurupuki. Uelewa wa nini sasa? Kukubali kubaki na matatizo ya kijamii kwa kung'ang'ania Magamba? CDM watapata vijana ambao bongo zao bado zinachemka, wakipata hata 10 wanatosha kuelimisha wengine kuwa ni kwa nini kukubali mabadiliko.
 
Hii, Malemo!Bila shaka hiki ndicho chama pekee kilichobakia na imani kwa wananchi wa Tanzania na si vinginevyo kwani kauli za Chadema na matendo yao yako sambamba. ni tofauti na jinsi ambavyo magamba wasemavyo na jinsi wanavyotenda ni tofauti kabisa, we should praise Peoplees power foreverrrrr
 
Pamoja sana mkuu.
 
hamna sumu ya udini yoyote,,,,mika yote toka siasa za upinzani zimeingia nchini, cdm walikuwa wapi wasiende mtwara?
Kila siku tunaisika cdm moshi na arusha...kwanini tusiconclude kuwa ni chama cha huko?

2nachanja mbuga
 
Cha ajabu orodha ya CDM imeshawekwa hadharani bado unazidi kusema chama cha wachaga mbona sikuelewi?
 
Back
Top Bottom