Ni ukwelu usiopingika kuwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania bado wanaamini kuwa CCM ndo chama imara,lakini wakifikiwa na kuelimishwa wakajua nchi inakoelekea,matatizo tuliyo nayo ya maisha magumu kwa ujumla yanatokana na sera mbovu za chama tawala,wataelimika na kuchukua uamzi sahihi.Cha msingi CDM wajipange vizuri,wasonge mbele mpaka vijijini, watoe elimu,mimi nawaahidi ni 2015 tutashuhudia ushindi wa kishindo kwa CDM.
CDM msirudi nyuma,iwe kusini,kasikazini,magharibi,mashariki nchi inaelekea kwenye ukombozi sahihi!Tusonge mbele bila kurudi nyuma.
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz