CHADEMA yawa gumzo Mtwara

Haaaaa
Kwa hiyo Wachaga na Chama Chenu mmeamua kutafuta kutafuta eneo la kutawala Mtwara!!!!!!

Kama wew ni mmakonde basi kichwa chako ni kigumu..... CDM ni zaidi na uijuavyo. , nimeishi MOshi 4 yrs........ Ni hatari!!!!!

Mfano, huwezi kupata eneo la kujenga pale hata ukiwa bilionea la kutupwa, Mwalimu Nyerere aliwajuwa mapemaaaaaa

Mbona hiyo singo ilishapitwa na wakati, si uje na nyingine mshkaji angalau yaweza kusikilizwa kwa muda. Magamba bana hakuna strategy zaidi ya majungu, kweli nimeamini hapo mlipo hamtoki hata iweje maana badala ya kuwajibika mmekalia majungu tu.
 
Imetulia saaana..! Tunawasubiri kwa hamu kuu, karibuni makamanda, Mtwara ni jimbo letu. Tuna kazi ndogo tu ya kuivuruga kambi ya CUF Tandahimba, Newala na Tunduru, otherwise mambo huku ni shwari.
 
Imetulia saaana..! Tunawasubiri kwa hamu kuu, karibuni makamanda, Mtwara ni jimbo letu. Tuna kazi ndogo tu ya kuivuruga kambi ya CUF Tandahimba, Newala na Tunduru, otherwise mambo huku ni shwari.

Pamoja sana mkuu
 
Mbona hiyo singo ilishapitwa na wakati, si uje na nyingine mshkaji angalau yaweza kusikilizwa kwa muda. Magamba bana hakuna strategy zaidi ya majungu, kweli nimeamini hapo mlipo hamtoki hata iweje maana badala ya kuwajibika mmekalia majungu tu.
Mkuu mada ya Pasco Jr Ngumi ni ya kichovu ile mbaya. Ama kweli nyani haoni kundule..! Mtu unapodai kwamba CDM ni chama cha kikabila halafu wakati huo huo unataka watu wengine, kwa maana ya makabila mengine, wasikikubali, huoni kama wewe mwenyewe mtazamo wako ni kuwabagua watu kwa makabila yao? Kama CDM ingekuwa ni ya kikabila si wangetegemea kura za wachaga tu?, mbona wanazunguka kutafuta support ya watanzania bila kujali makabila yao? Hayo maneno ya Pascal ni sawa na maneno ya mfa maji..!
 
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!

Ungesema zanziba ningekuelewa
 
wasipobadilika hiyo bara bara yao ya kutoka dar - mtwara haitamalizika mpaka kiama kije chagua mabadiliko chagua maendeleo
 
Watafunguka tuu hawa nani alitaraji wangefanya fujo na wafugaji na kutia moto nyumba last week!
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom