CHADEMA yawa gumzo Mtwara

CHADEMA yawa gumzo Mtwara

Why Arusha wakatimwingine zinapigwa nyimbo za dini kwanye mikutano sababu nini ...kuna yoyote anaweza kunielezea Wanamagwanda ?

Unataka zipigwe nyimbo za Shetani?
 
Tunakumbushi mlichokisema na end result yake! na mtwara itakuwa hivyo hivyo...
Kwa watu wanaolewa mwenendo wa CDM na uducteta uliopo, hawawezi kukishobokea CDM.
Am happy watu wa Pwani ni waelewa na wanajua kupima mambo kabla ya kukurupukia vitu!

hapo nilipoweka nyekundu bold inaonyesha jinsi ulivo shallow! hata kuandika maneno kwa usahihi unashindwa sasa tutegemee point ya maana toka kwako kweli??
 
Wewe kweli kauzu yani ukiwa mshabiki wa Chadema humu JF ndio great thinkers halafu kazi yako ni kuisifia Chadema ndio unakuwa unaongea pointi?

shule hizi za kata zimeharibu wengi sana! unaacha mada husika unarukia kutukana!! anyway I never argue with fools like you!!
 
Ulitakiwa unijibu Ndio uniulize swali"......kwanini zinapigwa za mapambio tu au wanachama wake wote ni watu wa mapambio

Mtu ukiwa kila mara unapenda kuchochea fujo za udini kwa watu wastaarabu watakudharau.
 
Mkuu wangu Tanzania kuna watu zaidi ya milioni 40 JF kuna members 70,000 na kuna zaidi ya Multiple ID's 40,000 Members hai unaweza kukuta wapo 20,000 tu Chadema wape members 15,000 hawa ndio wanawawakilisha Watanzania milioni 45? Ha haa haaa haaaa haaaaaa!
Ukumbuke hao 15000 ndio walimu wa hao ambao sio member
 
shule hizi za kata zimeharibu wengi sana! unaacha mada husika unarukia kutukana!! anyway I never argue with fools like you!!

Mbona unalia lia wapi umetukanwa umejibiwa kiungwana mbona...ni kweli mie nimesoma shule za kata ndio saizi yetu sisi masikini nyie mna uwezo ndio maana mmesoma shule za kulipia mkuu.
 
Nimecheka mpaka mbavu zinauma hivi hunaweza kuchukuwa nchi na wabunge 23?
Kwanza nimekucheka sana,kisha nikasikitika! kwahiyo kwa akili yako unadhani 2015 Chadema bado itakuwa na
wabunge hao hao 23?....za mbayuwayu changanya na zako. pole sana!
 
yes ni kweli watu wa mtwara wamekuwa na kiu ya mabadiliko na walikuwa wanataka kujua ni lini CDM watakwenda kwao kuna rafiki zangu huko kama 5 na hao watakuwa mfano sana
 
Mmh! yaani nimecheka hadi mbavu zinaniuma...nimekusoma between the line nikagundua unasumbuliwa na vitu 2.
Kwanza wewe ni mdini sana! na ninaguess wewe ni Islam. Badilika mkuu hizi dini tumeletewa tu na wajanja wakuja.
Pili nafsi yako imejaa chuki kubwa sana kwa Chadema, lakini jiulize swali hili...hivi hawa CDM wasipokubalika Lindi na
Mtwara watashindwa kuichukua nchi 2015 au 2020? Jibu unalo mwenyewe na nijepesi sana kama utashirikisha ubongo
wako.
All in all usipoteze mda wako kwa kutaka kuzuia mafuriko au tsumani kwa mikono yako miwili! Jitahidi kusoma alama za
nyakati...kwani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu! Time will tell

We ndo bure kabisa, unasoma offlines halafu unajifanya unasoma btn the lines! Sasa kama ningekuwa mdini mwislamu si ningeitetea hiyo CUF inayosemwa kwamba ni chama cha waislamu!!! Mdogo wangu wa damu ni kada wa CUF....siku moja nilimuuliza ikiwa kweli CUF hawajinasibishi na uislamu ni kwanini mikutano yao (enzi hizo) walikuwa wanafanya sana siku za ijumaa...hakuwa na jibu!
 
Kwanza nimekucheka sana,kisha nikasikitika! kwahiyo kwa akili yako unadhani 2015 Chadema bado itakuwa na
wabunge hao hao 23?....za mbayuwayu changanya na zako. pole sana!

Hata mie nimekucheka nimekuonea na huruma mwaka 2015 Chadema watapata madiwani wengi kuliko wabunge pole sana..
 
Mmh! yaani nimecheka hadi mbavu zinaniuma...nimekusoma between the line nikagundua unasumbuliwa na vitu 2.
Kwanza wewe ni mdini sana! na ninaguess wewe ni Islam. Badilika mkuu hizi dini tumeletewa tu na wajanja wakuja.
Pili nafsi yako imejaa chuki kubwa sana kwa Chadema, lakini jiulize swali hili...hivi hawa CDM wasipokubalika Lindi na
Mtwara watashindwa kuichukua nchi 2015 au 2020? Jibu unalo mwenyewe na nijepesi sana kama utashirikisha ubongo
wako.
All in all usipoteze mda wako kwa kutaka kuzuia mafuriko au tsumani kwa mikono yako miwili! Jitahidi kusoma alama za
nyakati...kwani sauti ya wengi ni sauti ya Mungu! Time will tell

We ndo bure kabisa....unasoma off lines halafu unajifanya unasoma btn the lines!!! Sasa ningekuwa mdini musilamu kama unavodai wewe si ningewashabikia CUF ambao wengi wanasema kwamba ni chama cha waislamu (kama wanavyosema CDM ni chama cha wakristo)!! Mdogo wangu wa damu ni kada wa CUF, nakumbuka niliwahi kumuuliza ikiwa CUF hawajinasibishi na Uislamu ni kwanini basi (especially zamani) mikutano yao walikuwa wanapenda sana kuifanya Ijumaa...hakuwa na jibu! Na hapa nimeshawahi kusema kabla, sababu inayonifanya nisikubali CHADEMA ndio hiyo hiyo inayonifanya nisiwakubali CUF....kwamba harakati na mambo yao huwa siwaelewei elewi!
 
Ritz, jitahidi kusoma alama za nyakati...utasombwa na mafuriko ya mageuzi
 
KWA HIYO NI NANI AMEWAOA KWA SASA? Nadhani rekebisha sentenso yako maana mimi Mmakonde damu! Suala si kabila kuoa kabila, bali ni jitihada za pamoja kukomboa nchi yetu! Kuachana na fika mgando na kuleta vuguvugu la mawazo mapya ya kimapinduzi na yenye tija kwa watu wote. Kwa bahati mbaya sisi wamakonde hatujaona mapinduzi hayo, ndo maana safari ya kilomita mia sita (Da-Mtwara) unaweza kutumia masaa 36 usipokuwa makini. Ndo maana bei ya korosho inapangwa na wasiowakulima wakati wenye kutoka jasho ni wakulima. Ndo maana hali ya kiuchumi imeendelea kuwa duni. Haya ndo mawazo ya kuleta kwenye jukwaa yajadiliwe! Sio mchaga kumwoa mmakonde! Wamakonde hawaolewi kama kabila, maana kama ni hivyo niambie kwa sasa amewaoa nani? Na je wamakonde wote ni wanawake. Acha matusi ya ya rejareja PASCO!!!!!!!!!!
Mmechemka, hii ni ngome ya CCM !!!!!! Tangu lini Mmakonde aolewe na Mchaga???
 
Hi sio mtwara 2,itapokelewa kwa shangwe nchi nzima mana hata wakulima,wana vijiji wameanza kutambua kama wananyonywa katika nchi yao ambayo maendeleo ni hafifu ukilinganisha na utajili uliopo,nyie hamjaliona hilo,chunguzeni bana
 
Back
Top Bottom