Baadaya kuzuiliwa na polisi hatimaye CDM kupitia makamanda wake LEMA NA OLLE MILLYA kuhutubia umati wa watu Same katika jimbo la Same Magharibi. Shughuli katika mji wa same zilisita na wimbo wa kila mtu ni PEOPLES POWER TU.Zaidi ya wanachama 300 wamehamia na kupewa kadi.Hizi ni salamu tosha kwa David Mathayo ambaye ama kwa hakika ameshaona mwisho wake 2015.