CHADEMA yavunjavunja ngome ya CCM Same

CHADEMA yavunjavunja ngome ya CCM Same

Good job wakuu. Watazua kila lugha ya uchochezi lakini watu akili kichwani.

...... Tunachanganya na zetu kama mheshimiwa JK alivyotushauri wakati wa sakata la nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma
 
Ni jambo jema kama watu kote wanapokea mabadiliko na ndani yao kuna utayari.Hili liendelee kote Tanzania.Tumechoka na Siasa za kubebana tukatae utumwa wa kiitikadi wa CCM chama ambacho kimetutesa hasa kwa miaka ya karibun.
 
Yaan Mkulu ametua leo Kutoka Adiss anakutana na News Motto, Ndo maana hakai!
 
Mungu awape afya, je na kwa mama W. J. Malecela watafika?

Makamanda wanatarajia kutia timu kwa Mamake Ze Baharia kesho.
Pamoja na ghiliba za Wanausalama kuuzuia Mkutano jana lkn leo ulifana.
Tulivutiwa na Mwanausalama mmoja aliyekuwa akirekodi matukio kwa miwani maalum huku akijifanya kuvaa kama Mlalahoooi.
 
We siku nyingine usihusishe watanzania wote na hao wahuni wa Chadema. Sema Chadema ni tumaini lako na mke wako na watotot wenu tu.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUIJUE TABIA YAKO".
muhuni na .........wako wa kambo kama wewe ulivyo mtoto..........,nyie ndio vibaraka msio kuwa na mbele wala nyuma,nyambafu sana.Peopleeeeeeeeeeeeeeeees.
 
Back
Top Bottom