CHADEMA yavuna 960 kutoka CCM Arusha

CDM Arusha imeanza kubaini siasa si maandamano wala si Lema pekee yake.I hope hawa watoto si miongoni mwa wanachama wapya 960 ha ha ha ha ha ha ha.
attachment.php

Mkuu Ngongo,
Watu tisa ndio umati? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Mkuu Ngongo,
Watu tisa ndio umati? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Nahisi una makengeza!kavae ile miwani yako uliyopewa baada ya kutoa huduma kwa bwana wako walau uonekane umependeza,labda utaona vizuri.
 
Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..

Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?

Si bure Ritz unamatatizo! Kisima kimoja ni kuanzia milioni tatu leo wewe milion 40 unasema hauwezi kuchimba hata kisima kimoja! Huko ni kujidhalilisha Ritz!
 
Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?
CCM kwa wizi hadi wapambe wake wanawaza kiwiziwizi, wangekuwa wao story ingekuwa ndefu, "ndugu mgeni rasmi kisima kimegharimi zaidi ya bilioni moja na nusu"
 
Duh huo ndio UMATI wa watu!!! Kha! Kweli ukipenda, hata chongo utasema ni kengeza!
Afadhali chongo wa jicho kuliko chongo wa akili.
Issue hapa ni mradi umefunguliwa, na wanachama 960 kutoka CCM wamepokelewa CHADEMA.
Sio issue ya Umati wa watu!!
 
40Mil ukigawanya kwa 960 unapata 41666 na centi 67 duh very high price to buy wanachama
 
Si bure Ritz unamatatizo! Kisima kimoja ni kuanzia milioni tatu leo wewe milion 40 unasema hauwezi kuchimba hata kisima kimoja! Huko ni kujidhalilisha Ritz!
Achana nao hao umesahau Bagamoyo choo cha mil. 700, CDM inawafundisha jinsi ya kufanikisha miradi kwa gharama nafuu hadi wanashangaa.
 
Mkuu Ngongo,
Watu tisa ndio umati? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
wale wale.........
you are missing the point not because you have decided to do so, but because you actually dont have enough brain cells to help you understand stuff. Whatever you have in your head, helps you to read, write, eat, fart and poo.
 
Achana nao hao umesahau Bagamoyo choo cha mil. 700, CDM inawafundisha jinsi ya kufanikisha miradi kwa gharama nafuu hadi wanashangaa.
Mkaguzi wa mahesabu ya serikali alipewa kazi ya kwenda kufatilia hii issue ilifikia wapi au imepotezewa?
 
Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..

Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?

Una formular ya kifisadi, akili yako imeathirika, wenzio wanazindua mradi umekamilika wewe bado hutaki, hatukwezi kwa uji....
 
Mimi nilidhani wamevuna watu Dodoma, Singida, Pwani, Shinyanga, Rukwa au Zanzibar!!!!!......Kumbe ni Arusha kule kule. Fanyeni chama kiwe cha kitaifa siyo cha kikanda bana.... kwa hali hii Urais ni ndoto kwenu.
 
Mradi wa Sh40 Milioni? Hiyo pesa hata kisima kimoja huwezi kuchimba..

Chadema bana kila siku mnasema Arusha hakuna CCM ni Chadema tu sasa hao watu 960 wametoka wapi?

Hao 960 ni wale chichiem ilikuwa inawarubuni kupitia kodi ya wanainchi sasa wameapa hawadanganyiki tena.
 
wale wale.........
you are missing the point not because you have decided to do so, but because you actually dont have enough brain cells to help you understand stuff. Whatever you have in your head, helps you to read, write, eat, fart and poo.

Wale wale...
When the head of the family dies, that family breaks up...
 
Back
Top Bottom