HAHAHAHA.... umewaza bitein ze lainz!Lazima mahesabu ya fedha toka kwa wahisani yabalance
Makamanda uchwara hao pamoja na wewe hamtajitokeza hata mmoja acha kufirahisha genge
hahahaahahah, nenda pale Kona ya Bwiru kwenye ofisi yao kanda uwaulize mkuu halafu unipe mrejeshoMaandamo ni saa ngapi makamanda kwa hapa mwanza?
ha ha ha haaa!! haya mkuu, ila naona jiji lipo kimya sijaona hata wakuitwa ef ef yu wanapita!!!hahahaahahah, nenda pale Kona ya Bwiru kwenye ofisi yao kanda uwaulize mkuu halafu unipe mrejesho
Mie niko hapa mjini kati tena karibu na Hoteli ya Gold Crest sijaona dalili yoyote! Waliamshe basi jamani!!!!ha ha ha haaa!! haya mkuu, ila naona jiji lipo kimya sijaona hata wakuitwa ef ef yu wanapita!!!
pesa nliyotumia hapo inatafsri kubwa sana mkuu imetumika kama signifier na vilevile signified ,kifupi unatakiwa ufanye semiotics analysisUnataka maandamano ya kudai pesa, nani akupe?
sasa hapo ndo uko kwenye hatari zaidi, utakimbilia wapi kama wataliamsha!! mwanza hotel watafunga milango NMB pia hali kadhalika Gold Crest kuja ukimbie hadi huku chini utakuwa umechelewa unakutana na wazee wenyewe wanatokea huku kituoni.Mie niko hapa mjini kati tena karibu na Hoteli ya Gold Crest sijaona dalili yoyote! Waliamshe basi jamani!!!!
hahahaahahah, nitakimbilia pale pizzeria ninywe juice na sambusa za mbogamboga hadi hali ikitulia hahahahahasasa hapo ndo uko kwenye hatari zaidi, utakimbilia wapi kama wataliamsha!! mwanza hotel watafunga milango NMB pia hali kadhalika Gold Crest kuja ukimbie hadi huku chini utakuwa umechelewa unakutana na wazee wenyewe wanatokea huku kituoni.
ha ha ha haahaa!! utakuwa mteja wao kwa lazima! ha ha haha.hahahaahahah, nitakimbilia pale pizzeria ninywe juice na sambusa za mbogamboga hadi hali ikitulia hahahahaha