salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
- Thread starter
-
- #61
Ndio mana nahoji hao wa kwenu wako wapi manake hawakuonekana kabisa wakati wao ndio makamandaHao wote 6,000 walojitokeza walikuwa ni MaCCM wakuaminika wote lakini kutokana na Upuuzi wenu mkiongozwa na Mwigulu Nchemba wameamua kujivua GAMBA na kujiunga na CDM kwa njia ya Kura.
Mlizani njama zenu za kuondoa wapiga kura wafuasi wa CDM zitawasaidia?.
Mnajizika wenyewe! hata mgewaleta mabalozi wenu tu ndio wapige kura bado mgeshangaa kipigo chenu!.
Someni alama za nyakati mmebaki na wanachama wengi wa sare tu lakini wa kura ni wachache mno.
We utakuwa si mzima....
1. Aliyekuambia kuwa waliobaki majumbani bila kupiga kura ni wafuasi wa CCM PEKEE ni nani..?? Unaweza ukaweka ushahidi hapa..??
2. Kwa nini waliojitokeza kupiga kura hawakuwapigia CCM kura zote..???
3. Wale waliowapigia CUF unawaweka kwenye kundi lipi..???
Kuna wakati tuseme ukweli, sepetu (chepe) tuiite sepetu (chepe), na si tubadili jina na kuiita kijiko kikubwa...
utawajua kwa style zao za uandishi tu kuwa wametumwa.
Mtu ameshindwa kufanya hesabu ndogo tu
Kabla ya uchaguzi, CCM 20 Chadema 5 (20-5=15)
Baada ya uchaguzi, CCM 15 Chadema 11
(15 - 11= 4). hiyo tofauti ya nne ndo inaqualify kusema CDM yashindwa vibaya?
Angalia vizuri mzee. Hata ingekua ni mfanyabishara angeshahisi biashara yake sasa ina mashaka. We umetumwa na aliekutuma anajua anakutumia bila wewe uliyetumwa kujua. pole ndo siasa za bongo lakini. Unaishia kuwa kama tambara la deki ambalo linakosa thamani baada ya kufanyia usafi.
Sorry lakini
Hapana uzi huu unahoji people's power inayonunulika na ile ya kiwogawoga
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya people's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape ushauri
umenikumbusha ccm hv JK alishindwa kwa kura ngapi vile kati ya waliojiandikisha!?
Naomba niwape ushauri wa bure CDM wanachokifanya sio vizuri hata kidogo,mim CCM ndiye niliyekuvisha nepi nikakuonyesha mjini,leo hii umeamua kunifanyia haya.Mungu atakulipa kwa kitendo ulichonifanyia,ungejua lini siasa wewe kama sio mimi,ungetoa wapi wagombea kama sio mimiCCM,uwe na hata haya wewe.Heshimu wakubwa zako hata kidogo basiHiyo udhauri inapatikana wapi?
Utategemea vipi watu wajitokeze kwa wingi katika mazingira ambapo maaskari wamejaa vituoni na silaha nzito kana kwamba tuko vitani?
Wana jf hebu tuone aibu kidogo na tuwaulize hawa wenzetu hiyo people's power yao iko wapi ikiwa hata kutoka tu ndani kwenda kituoni kupiga kura wameogopa kati ya wapiga kura 60,000 wanajitokeza 6,000 tu si kituko hiki sasa hao sisiem zaidi ya 20,000 wangejitokeza si ingekuwa gharika. Haya mambo ya people's power za kishabiki hazitapeleka cdm ikulu kama
wanavyojinasibu hebu tuwape ushauri
Kweli wewe ni JF senior expert member wa ukweli!! hata ujishangai kuandika kitu kama hicho?
kwani hao Che-Che-Mea walikuwa hawautaki shindi! kwa nini hawakutoka?
duh some brains lack gray matter!
Mkuu sherehe inatakiwa kuendelea hebu tutafute uwanja..................................