CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

Hawa jamaa wabaguzi sana nasari alihutubia siku moja mchana kweupe akasema afadhali waanzishe jamuhuri yao ya kaskazini wajitenge.
 
Uchaga na ukaskazini ndio muhimili mkuu wa siasa za chadema
 

waambie mku
 
Chama cha wachaga na watu wa Arusha Mjini na Moshi. Hawa wengine ni class Z partisans. Yaani ndani ya CDM ni full ubaguzi na ukabila. Yaani Kama wee si miongoni mwa Wachaga na Waarusha basi huna maana na umuhimu kwa CDM. Hawa ni wadini wakubwa na kwa hakika CDM wakiendelea na tabia zao za ubaguzi basi itakula Kwao na hawataweza kuongoza nchi hii hadi Masia aje!!

Wanamchukia Zitto kwa sababu kubwa mbili ya kwanza sio mchaga na ya pili ni muislam. Yaani haya yote kwa chadema ni mambo makubwa ya kuyaangalia. Ni wabaguzi sana tena waliokubuhu.
 
CHADEMA HAIWEZI KUWA MTU HATA SIKU MOJA, CHADEMA NI YA WANANCHI SIO ya ZITTO, MBOWE WALA SLAA. Hivyo kama watu wa kigoma wakigoma kulinda utu wao kwa sababu ya Zitto, waache maana CDM ni taifa la Tanzania sio Kigoma tu.
 

umemaliza kila kitu mkuu.!
Kuna watu wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii.!
 
Lekatugite Ndio iliyoendelezwa Kigoma!

hahahahahah.!
Too right mate.. Yani jamaa anakomalia kuipa umaarufu lekadutigite kuliko kukijenga chama, alafu eti anataka awe mwenyekiti au raisi! Ptuuuuuu
na asuse tu, na kama anaondoka kwenye chama na aondoke tu.! The sooner the better
 

mwenye macho haambiwi tazama.!
 

mwambieni agombee kupitia ccm!
 

insane????
 

Acha ujinga wewe!
 


Sin nyongeza umemaliza kila kitu.
 
Hilo hasa ndilo linawasumbua ninyi mpaka mnaleta nyuzi kama hizi. Mara nyingi mnajaribu kufanya kwa mafumbo, lakini hapa umetokeza wazi bila aibu.

Ajenda zenu ni kuwagawa watu kwa DINI zao.

Wewe mpiga debe wa CCM hapa unatanguliza dini kwanza. Waislamu waliomo ndani ya CHADEMA hawajalalamika. Wewe unapolalamika kwa niaba yao wamekutuma?

Wewe na wenzako ndio mnaotazama mambo kwa miwani ya dini. Zitto mnampenda kwa sababu ya dini yake na Slaa mnamchukia kwa sababu ya dini yake.

UBAGUZI HUU NA KUWAGAWA HUKU WATANZANIA kutalimaliza taifa letu. Ninyi si wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…