CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

CCM ndo kinapoteza kwani kumbuka kunacku nchi nzima ilikuwa chini yao. Sasa CHADEMA hata wakichukua kata moja anayepoteza ni ccm kwani anakuwa kanyang'anywa ni ccm.

CHADEMA big up. Kaza boot na chukua kata moja moja.

Na ikumbukwe chadema hawana chagonjwa, mwemwa wala kivu ila wanapita tu.

kumbuka wachaga wengi walondani ya polisi ndiyo watatumika na chadema kuvuruga kesi na ushahidi wa kesi mbalimbali lakini zao zinahesabika.
 
Huwa najiuliza hawa cdm kila wakiambiwa ukweli utaskia buku 7 hivi wao hawana njaa au ndio chama xha majambazi siku wakiitaji utaskia harambee ya jitijiti p! Zao sogeeni pembeni gari kubwa zipite zenu kelele na majungu tumezoea sana kanyaga twende lumumba oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hizo ni porojo za kushindwa uchaguzi; tatizo kubwa chama chenu mlimweka mtu asiyeuzika na mamluki toka wilaya ya Kinondoni pia shughuli za kampeni ziliratibiwa na ofisi ya makao makuu huku ofisi ya wilaya TMk wakiwa watazamaji. Siku moja kabla ya uchaguzi, viongozi wa M4C wakiwa na gari lao walilewa sana ZACKEEM PUB badala ya kufanya kampeni

Hilo nakubaliana na wewe, na niliandika kwamba huku kupishana kati ya makao makuu na wilaya ya TMK kutaleta tatizo.
 
Uhai wa chama sio bendera. Chama kiko rohoni mwa watu. Huyo mmiliki wa Kakonko CCM imemfanyia mizengwe ya kumfungia biashara yake, akaamua kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Wengi ndani ya CCM urafiki wao ni wa mashaka.

Mfano mzuri ni huu. Mianzini CCM ina wajumbe zaidi 980 bila kuhusisha familia zao, imekuwaje mkapata kura 1000 na wakati kila mjumbe alipewa Tzs 50, 000? Mbaya zaidi kila kura ya Mianzini mliyoipata thamani yake si chini ya Tzs 20, 000. Kumbuka kila mbunge wa CCM Dar amechanga milioni 3 na Mbwana kaweka rehani baa yake kwa Kisuma.

Katika tathmini ya CCM mmekubaliana kufungua akaunti ya uchaguzi kwa kila mtaa kwa ajili ya ucgaguzi wa serikali za mitaa mwaka kesho. Mmekubali kabisa kuwa uchaguzi wa Mianzini haukuwa mzuri kwenu na kwamba kama mgombea wa CUF angekuwa CHADEMA msingeshinda kata hiyo. Bahati nzuri mazungumzo yenu niliyanasa na ukibisha nitayaweka wazi mtandaoni.

Bora ulivyowambia maana wao wanaongoza kwa kuwatisha wananchi, shame on them
 
watu wa dar wanauwezo wa kutafakari mambo siyo wakutumika hovyo kama watu wa arusha,chadema wasitegemee kuwapata watu wa dar kirahisi labda wakaazi wa kimara peekee ambao kila mtu anajua kwa nini ni washabiki wa chadema.

Hivi huko nako ni Dar kumbe, na mtu WA huko matitu akikutana wa Kariakoo wote wanasema tunatokea Dar?

Hao watu huko akili zao zinatindiuka kwa kuishi jirani na majalala. Ukikaa nyumba na jalala lazima uipende ccm Tu.
 
na bado watahama tu dar,dar siyo moshi wataisoma tu.

4th July 2013

Posts : 70

Ajira umepata,lile shamba ulilopewa na mjomba umeliacha linajaa majani kumbe upo huku?
 
SAFARI ni NDEFU niliongea na uongozi wa JIMBO kuwa yapo MAENEO kama kata ya KIBURUGWA- Mbagala wapo WALIOJITOLEA nyumba zao ziwe oFISi Ya CHAMA kwenye Kata Lakini Mpaka muda huu NAZUNGUSHWA TU. Kama mambo ndiyo haya BASI BWANA.
 
Lumumba project,kuleni buku saba mwisho wake unakaribia...
 
watu wa dar wanauwezo wa kutafakari mambo siyo wakutumika hovyo kama watu wa arusha,chadema wasitegemee kuwapata watu wa dar kirahisi labda wakaazi wa kimara peekee ambao kila mtu anajua kwa nini ni washabiki wa chadema.


Watu wa Dar ni akina nani hao?
 
Kwani wanamageuzi wa kweli haupo Dsm na kama yapo kwa uchache baali wanamageuzi wapo A town,Mby na kwingineko.Jiji la Dsm ni tofauti na majiji mengine ya Africa ambayo ni kitovu cha mageuzi lakini Dar bado ina watu wengi wasiojua umuhimu wa mageuzi
 
Kwa Dsm, Chadema mna kazi ya kufanya, pokeeni huo ushauri.Kama mnataka kuikamata Dar, fanyeni kampeni ya nyumba kwa nyumba, fungueni matawi,wekeni viongozi imara,kuwe na ofisi za kudumu nk

Tumeshakamata Kawe na Ubungo. Majimbo yatakayofuata ni segerea na ukonga. Temeke, Ilala na Kinonondoni ni pa gumu kwa sababu ya udini(Uislamu); watu wengi maeneo hayo wanang'ang'ania CUF na CCM kwa sababu za kidini.
 
Nikianike kikao chenu cha tathmini (video) ya Mianzni mtandaoni?
attachment.php

Kashaijabutege wewe iweke tu hiyo Video ndio tuupate ukweli maana vitu vingi vinajificha
CCM haigopi kitu wala hatishiwi mtu NYAU weka vitu hadharani
 
sitashangaa nyie ni hodari wa kuunganisha picha kama ilivyotamkwa na Kamanda Chagonja! CDM ni janga la taifa, mwisho wake ni 2014 uchaguzi wa serikali za mitaa

Huyu naye unamuita KAMANDA au Kada wa MAGAMBA?
 
tumeshakamata kawe na ubungo. Majimbo yatakayofuata ni segerea na ukonga. temeke, ilala na kinonondoni ni pa gumu kwa sababu ya udini(uislamu); watu wengi maeneo hayo wanang'ang'ania cuf na ccm kwa sababu za kidini.

kwa hiyo unatubu cdm ni chama cha wakristo!
 
Siku zote wana CDM hawataki kuambiwa UKWELI, habari ndiyo hiyo uchaguzi mdogo umeisha, CDM imepotea Mbagala! CDm ni chama cha msimu, wakati wa uchaguzi tu

Na baada ya 2015 ni zamu ya chama cha mzee Cheyo..ni mwendo wa kupeana zamu, ilikuwa nccr, ikaja cuf sasa chadomo na baadae udp na kitafuata cha mchungaji Mtikila.
 
Back
Top Bottom