CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

attachment.php

Kashaijabutege wewe iweke tu hiyo Video ndio tuupate ukweli maana vitu vingi vinajificha
CCM haigopi kitu wala hatishiwi mtu NYAU weka vitu hadharani

Tuwe na subira. Nina kila kitu.
 
Wa.pu.mba.vu wakubwa maccm....ngojeni tar 14 mtajua :target:
 
Katika kile kinachoashiria anguko la kisiasa mkoani DSM, CHADEMA kimejikuta kikipoteza wafuasi, wanachama na wafadhili ndani ya kata ya Mianzini ambako waliambulia kura chache katika uchaguzi mdogo wa udiwani, uliohitimishwa kwa mgombea wa CCM, Mheshimiwa Mbwana kuibuka kidedea. Pigo takatifu kwa CHADEMA limeambatana na kufungwa kwa tawi la chama lililokuwa eneo la KAKONKO bar Majimatitu; Wiki mbili zilizopita bango la utambulisho wa ofisi ya chama lilionyesha OFISI YA CHADEMA kata ya Mianzini, hivi leo limebadilika na kuwa OFISI YA CCM tawi la Maji Matitu, POLENI akina Mwita &CO; CCM yasonga mbele kwa kasi kubwa huku CHADEMA ikirudi nyuma kwa kasi ya ajabu
Kwa mwenye hekima na akili ni kilio shangaa kwa limbukeni ilivyo kicheko, ama kweli mtu mjinga hajui hatima ya maisha yake mpaka imemfika
 
Siku zote wana CDM hawataki kuambiwa UKWELI, habari ndiyo hiyo uchaguzi mdogo umeisha, CDM imepotea Mbagala! CDm ni chama cha msimu, wakati wa uchaguzi tu

Kazi ya kuchukua madaraka kwa kugawa pombe unadhani ni kupendwa au pombe zilipendwa?
 
Kata ya Mianzini...... We -------- kweli!!
2015 hamtatoboa nyie magaidi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Huwa najiuliza hawa cdm kila wakiambiwa ukweli utaskia buku 7 hivi wao hawana njaa au ndio chama xha majambazi siku wakiitaji utaskia harambee ya jitijiti p! Zao sogeeni pembeni gari kubwa zipite zenu kelele na majungu tumezoea sana kanyaga twende lumumba oyeeeeeeeeeeeeeeeeee

ngorongoro 600m?
 
nyie ni huko huko kaskazini bana sio huku kwa wajanja..

Yaan unatukuza ukanda alaf kisha unajiita mjanja, hv huu ni ujanja au uganga njaa, da ama kwel njaa mbaya, hv umesahau kuwa ccm ina majimbo ya yakutosha huko kaskazin, na pia unasahau kuwa huko unapopaita kwa wajanja chadema ina majimbo na madiwan wa kutosha., ushaur wng hata kama tunawai buku 7 ila tuwe tunajaribu angalau kupost kitu kinachoendana na ukweli.
 
Hawa hawajawahi kushinda kihalali popote kwani hata sehemu wanayokubalika hutoa rushwa ambayo imekuwa ni desturi yao.
Uhai wa chama sio bendera. Chama kiko rohoni mwa watu. Huyo mmiliki wa Kakonko CCM imemfanyia mizengwe ya kumfungia biashara yake, akaamua kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Wengi ndani ya CCM urafiki wao ni wa mashaka.

Mfano mzuri ni huu. Mianzini CCM ina wajumbe zaidi 980 bila kuhusisha familia zao, imekuwaje mkapata kura 1000 na wakati kila mjumbe alipewa Tzs 50, 000? Mbaya zaidi kila kura ya Mianzini mliyoipata thamani yake si chini ya Tzs 20, 000. Kumbuka kila mbunge wa CCM Dar amechanga milioni 3 na Mbwana kaweka rehani baa yake kwa Kisuma.

Katika tathmini ya CCM mmekubaliana kufungua akaunti ya uchaguzi kwa kila mtaa kwa ajili ya ucgaguzi wa serikali za mitaa mwaka kesho. Mmekubali kabisa kuwa uchaguzi wa Mianzini haukuwa mzuri kwenu na kwamba kama mgombea wa CUF angekuwa CHADEMA msingeshinda kata hiyo. Bahati nzuri mazungumzo yenu niliyanasa na ukibisha nitayaweka wazi mtandaoni.
 
Wakati tuna rais anayelindwa na mashetani ya Kiongozi wa dini fulani anaitwa marehemu shehe Yahya

mkienda kwenye kampeni mnawatumia viongozi wa makanisa badala ya viongozi wa machadema kwann?
 
Ccm bila rushwa,vitisho na mauaji siasa haiendi!

mbona unaongea kinyume nyume? Nyie ndio mnatembea na sumu hadi bar mlishe watu, mnapanga mipango haramu ya kina lwakatare mlishe watu sumu, mnauwa watu kwa tindikali, mnajilipua kwa mabomu na mnajigawia ruzuku ya chama hadi mamilioni ya shilingi mnatishia watu eti nchi haitatawalika, kaskazini itajitenga.. au mkuu ulikuwa unaota?
 
CDM ina kazi kubwa kuwafanya wananchi wa Tanzania kujitambua, lakini hilo sio la ajabu hata wakati wa ukoloni walikuwepo
wale ambao waliotumiwa na mfumo kupinga mabadiliko. Lakini mabadiliko yalikuja, na uhuru ukapatikana. Uhuru wa kweli utapatikana tz. Muda wa kuelimisha bado upo. Watanzania wakiwemo wa Mianzini, tuamke. Tukatae makombo ambayo tunapewa na hawa mafisadi.
 
Tarehe 14.07.2013 siyo mbali, adhabu yenu toka kwa wananchi.
a
unakumbuka huyo diwani alipita kwa kura ngapi?maana idadi ya wapiga kura haikufika hata robo ya waliopashwa kupiga kura lakini kiama kinakaribia ccm
 
Back
Top Bottom