CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

Kikwete ni zaidi ya Dr Slaa + Mbowe + Selasini
 
Huko maji matitu Ni sawa na Chake Chake Tu, ilimu dunia imegoma kabisa. Ndio maeneo maccm mnatamba kwa kuwa mtaji wenu ni ujinga wa watanzania.

Kama mwenye nyumba kaamua kuwapangisha CCM kuna ubaya gani, ishu si kodi tu. CDM watapanga kwingine sioni stori hapo
 
kifo ni kibaya sana hasa cha taasisi kama chama.
Hivi kipi kinapunguzaga majonzi zaidi, kujifariji au kufarijiwa!?
 
sitashangaa nyie ni hodari wa kuunganisha picha kama ilivyotamkwa na Kamanda Chagonja! CDM ni janga la taifa, mwisho wake ni 2014 uchaguzi wa serikali za mitaa

Sio 2013?? manake kila siku mnakuja na tarehe mpya. MTAISOMA NAMBA 2015
 
Mwita ni shahidi mzuri wa kipigo cha CDM Mianzini kwa vile alikuwapo wakati wa kampeni, kupiga kura, pia alishuhudia kura zikianza kuhesabiwa, INGAWA alipotea mara baada ya kutambua hali ni mbaya kwa CDM
 
Mapungufu ni:
1. Chama kutokuwa na uongozi wa kuchaguliwa wilayani TMK
2. Chama kutokuwa wazi kuhusiana na fedha za ruzuku na michango toka Uingereza na Ujerumani
3. Viongozi wa chama katika matawi kupatikana kwa njia za zimamoto
4. Ukabila kutawala katika uongozi ngazi zote; Mianzini kuwekewa wachaga kama viongozi
5. Kampeni kuratibiwa kutokea BAR

"Nikianike kikao chenu cha tathmini (video)....?"

Huyu bwana kashaijabutege ana maswali magumu sana....

Sasa unategemea mh. Mtoa mada ajibu nini?? Tusipende kuwaweka wenzetu kwenye mazingira magumu hivyo.......unataka thread yake aione chungu
 
NARUDIA tena, Mwita ni shahidi mzuri juu ya pigo takatifu la CDM katani Mianzini!
 
Hawa cdm hawapendi ukweli ndiyo maana watu tunawaona ni wehu. Jipangeni sio kubishabisha tu hata mkipewa facts.
 
"Nikianike kikao chenu cha tathmini (video)....?"

Huyu bwana kashaijabutege ana maswali magumu sana....

Sasa unategemea mh. Mtoa mada ajibu nini?? Tusipende kuwaweka wenzetu kwenye mazingira magumu hivyo.......unataka thread yake aione chungu
KAMANDA hawana pa kutokea. Inawauma kuona wana viongozi katika zaidi 2400 lakini wamepata kura 1000 pamoja na kuhonga. Mjumbe mmoja alitamka wazi kuwa ushindi huo si wa kujivunia. Sasa hivi wako sakasaka ya kujua ni nani aliwasaliti.

Waliweka mkakati wa kuangamiza CDM katika mtaa wa Kongowe ambapo mikakati yote ya kampeni za mianzini ilikuwa ikifanyika. Nasubiri go ahead ya CC ambayo inaendelea na kikao. Mbinu zao nitaziweka wazi. Nilikuwemo ndani.
 
By MAFILILI<br />
sitashangaa nyie ni hodari wa kuunganisha picha kama ilivyotamkwa na Kamanda Chagonja! CDM ni janga la taifa, mwisho wake ni 2014 uchaguzi wa serikali za mitaa
<br />
<br />
Chagonja ndio reference point yako, umechoka BIG TIME.

CCM ndo kinapoteza kwani kumbuka kunacku nchi nzima ilikuwa chini yao. Sasa CHADEMA hata wakichukua kata moja anayepoteza ni ccm kwani anakuwa kanyang'anywa ni ccm.

CHADEMA big up. Kaza boot na chukua kata moja moja.

Na ikumbukwe chadema hawana chagonjwa, mwemwa wala kivu ila wanapita tu.
 
Katika kile kinachoashiria anguko la kisiasa mkoani DSM, CHADEMA kimejikuta kikipoteza wafuasi, wanachama na wafadhili ndani ya kata ya Mianzini ambako waliambulia kura chache katika uchaguzi mdogo wa udiwani, uliohitimishwa kwa mgombea wa CCM, Mheshimiwa Mbwana kuibuka kidedea. Pigo takatifu kwa CHADEMA limeambatana na kufungwa kwa tawi la chama lililokuwa eneo la KAKONKO bar Majimatitu; Wiki mbili zilizopita bango la utambulisho wa ofisi ya chama lilionyesha OFISI YA CHADEMA kata ya Mianzini, hivi leo limebadilika na kuwa OFISI YA CCM tawi la Maji Matitu, POLENI akina Mwita &CO; CCM yasonga mbele kwa kasi kubwa huku CHADEMA ikirudi nyuma kwa kasi ya ajabu
Ukikosa cha kuandika kuhusu Chadema huwa una tabia ya kurudia matapishi. Kwani huu uchaguzi ulifanyika lini na ni mara ngapi hili umelisema? Shule ikiwa ndogo kweli ni tatizo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kikwete ni zaidi ya Dr Slaa + Mbowe + Selasini

Katika kushindwa kuongoza na kuwapa wananchi haki yao ya msingi ni kweli amewazidi kwa kuwa hawa bado hawajapewa ridhaa hiyo ili tuwapime. Tutajua kuanzia 2015.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ni pigo kubwa kwa Chadema sasa huyu Mwita Maranya, alikuwa anajisifu kuwa kata ya Mianzini wameikamata sijui atawambiaje Pro-Chadema wenzake.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka siku ile ya uchaguzi nilipita pale Moshi bar nikawaona wafuasi wa Chadema wakigawana pakiti za viroba.
 
Mkuu MAFILILI,

Tunashukuru kwa taarifa hii muhimu humu jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Huko maji matitu Ni sawa na Chake Chake Tu, ilimu dunia imegoma kabisa. Ndio maeneo maccm mnatamba kwa kuwa mtaji wenu ni ujinga wa watanzania.

Kama mwenye nyumba kaamua kuwapangisha CCM kuna ubaya gani, ishu si kodi tu. CDM watapanga kwingine sioni stori hapo

watu wa dar wanauwezo wa kutafakari mambo siyo wakutumika hovyo kama watu wa arusha,chadema wasitegemee kuwapata watu wa dar kirahisi labda wakaazi wa kimara peekee ambao kila mtu anajua kwa nini ni washabiki wa chadema.
 
Ni pigo kubwa kwa Chadema sasa huyu Mwita Maranya, alikuwa anajisifu kuwa kata ya Mianzini wameikamata sijui atawambiaje Pro-Chadema wenzake.

mkuu ukimsikiliza mwita maranya utapotea ni muongo kama dk slaa vile kila anachoongea ni uongo kuanzia post zake hata michango yake ni ya uongo.
 
Back
Top Bottom