CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

Katika kile kinachoashiria anguko la kisiasa mkoani DSM, CHADEMA kimejikuta kikipoteza wafuasi, wanachama na wafadhili ndani ya kata ya Mianzini ambako waliambulia kura chache katika uchaguzi mdogo wa udiwani, uliohitimishwa kwa mgombea wa CCM, Mheshimiwa Mbwana kuibuka kidedea. Pigo takatifu kwa CHADEMA limeambatana na kufungwa kwa tawi la chama lililokuwa eneo la KAKONKO bar Majimatitu; Wiki mbili zilizopita bango la utambulisho wa ofisi ya chama lilionyesha OFISI YA CHADEMA kata ya Mianzini, hivi leo limebadilika na kuwa OFISI YA CCM tawi la Maji Matitu, POLENI akina Mwita &CO; CCM yasonga mbele kwa kasi kubwa huku CHADEMA ikirudi nyuma kwa kasi ya ajabu

Njoo chukua buku 7 kwa post nzuri
 
ndio lugha zenu mkishikwa sehemu mbaya

Unachotakiwa kuangalia ni nguvu ya namna gani imetumika hivi sasa kwa hawa wagawa buku KADHAA LUMUMBA na kwa akili yako utagundua kuwa umasikini wa kutupwa ndio chanzo cha mafanikio Haramu mnayoyapata but the truth is here now you`r going to fail.
 
Katika kile kinachoashiria anguko la kisiasa mkoani DSM, CHADEMA kimejikuta kikipoteza wafuasi, wanachama na wafadhili ndani ya kata ya Mianzini ambako waliambulia kura chache katika uchaguzi mdogo wa udiwani, uliohitimishwa kwa mgombea wa CCM, Mheshimiwa Mbwana kuibuka kidedea. Pigo takatifu kwa CHADEMA limeambatana na kufungwa kwa tawi la chama lililokuwa eneo la KAKONKO bar Majimatitu; Wiki mbili zilizopita bango la utambulisho wa ofisi ya chama lilionyesha OFISI YA CHADEMA kata ya Mianzini, hivi leo limebadilika na kuwa OFISI YA CCM tawi la Maji Matitu, POLENI akina Mwita &CO; CCM yasonga mbele kwa kasi kubwa huku CHADEMA ikirudi nyuma kwa kasi ya ajabu

Mkuu Mwita Maranya kuna watu wanapika majungu huku!
 
Last edited by a moderator:
Kwa Dsm, Chadema mna kazi ya kufanya, pokeeni huo ushauri.Kama mnataka kuikamata Dar, fanyeni kampeni ya nyumba kwa nyumba, fungueni matawi,wekeni viongozi imara,kuwe na ofisi za kudumu nk

mkuu tatizo la chadema ni sera na itikadi zao za ukabila udini na ukanda sio ofisi wala nn. Hebu angalia kama mwenyekiti wa chama anaendesha danguro ataweza kuukemea ushoga? Hayo ndio mambo ya msingi ambayo watu hawayataki
 
mkuu tatizo la chadema ni sera na itikadi zao za ukabila udini na ukanda sio ofisi wala nn. Hebu angalia kama mwenyekiti wa chama anaendesha danguro ataweza kuukemea (ushoga)? Hayo ndio mambo ya msingi ambayo watu hawayataki

hili swala haliwezi likaisha mpaka pale wewe utakapoacha hiyo tabia yako ya kwene mabano na hilo nalo litafungwa. simply because wewe ni mfanyakazi ndani ya hilo jumba
 
Uhai wa chama sio bendera. Chama kiko rohoni mwa watu. Huyo mmiliki wa Kakonko CCM imemfanyia mizengwe ya kumfungia biashara yake, akaamua kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Wengi ndani ya CCM urafiki wao ni wa mashaka.

Mfano mzuri ni huu. Mianzini CCM ina wajumbe zaidi 980 bila kuhusisha familia zao, imekuwaje mkapata kura 1000 na wakati kila mjumbe alipewa Tzs 50, 000? Mbaya zaidi kila kura ya Mianzini mliyoipata thamani yake si chini ya Tzs 20, 000. Kumbuka kila mbunge wa CCM Dar amechanga milioni 3 na Mbwana kaweka rehani baa yake kwa Kisuma.

Katika tathmini ya CCM mmekubaliana kufungua akaunti ya uchaguzi kwa kila mtaa kwa ajili ya ucgaguzi wa serikali za mitaa mwaka kesho. Mmekubali kabisa kuwa uchaguzi wa Mianzini haukuwa mzuri kwenu na kwamba kama mgombea wa CUF angekuwa CHADEMA msingeshinda kata hiyo. Bahati nzuri mazungumzo yenu niliyanasa na ukibisha nitayaweka wazi mtandaoni.

mkuu tuwekee, usiwaogope hawa bagamba
 
Mapungufu ni:
1. Chama kutokuwa na uongozi wa kuchaguliwa wilayani TMK
2. Chama kutokuwa wazi kuhusiana na fedha za ruzuku na michango toka Uingereza na Ujerumani
3. Viongozi wa chama katika matawi kupatikana kwa njia za zimamoto
4. Ukabila kutawala katika uongozi ngazi zote; Mianzini kuwekewa wachaga kama viongozi
5. Kampeni kuratibiwa kutokea BAR
 
sitashangaa nyie ni hodari wa kuunganisha picha kama ilivyotamkwa na Kamanda Chagonja! CDM ni janga la taifa, mwisho wake ni 2014 uchaguzi wa serikali za mitaa

Chagonja ndio reference point yako, umechoka BIG TIME.
 
Siku zote wana CDM hawataki kuambiwa UKWELI, habari ndiyo hiyo uchaguzi mdogo umeisha, CDM imepotea Mbagala! CDm ni chama cha msimu, wakati wa uchaguzi tu

Sasa ndugu yangu mafilili, katika uchaguzi mdogo uliopita kati ya CHADEMA na ccm ni kipi kimeongeza idadi ya madiwani na kipi kimepoteza? acha kujitoa ufahamu kwa hizo buku 7 project zenu
 
Tatizo CCM ikishinda unaanza kujiuliza, wamehonga shilingi ngapi? wameibaje ibaje? ni vitisho gani wametumia? ni sawa na jambazi tu,
 
nyie ni huko huko kaskazini bana sio huku kwa wajanja..

Watu wana Kawe, Ubungo, Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa, Moshi...hiyo ndio Tanzania, sio unashinda Bagamoyo halafu unasema umeshinda, Ingekuwa Marekani CDM wangekuwa wanaongoza nchi maana kwao kura ya eneo la watu waelewa ina uzito mkubwa zaidi.
 
Ninauhakika Changoja anaiongelea Photoshop kwazsababu haifahamu, kama angeifahamu inavyo fanya kazi asingeongea utumbo wa kiasi kile, ukimuangalia kwa sura tu unagundua jamaa ni bongo lalal
 
Tatizo CCM ikishinda unaanza kujiuliza, wamehonga shilingi ngapi? wameibaje ibaje? ni vitisho gani wametumia? ni sawa na jambazi tu,

CDM ni genge lililosheni watu wasiotayari kupoteza uchaguzi hatakama hawakuwekeza; Mianzini daili zilikuwa tosha kwani CDM ilianza kujitokeza wakati wa kampeni mbaya zaidi kwa kutumia makada wasio wakazi wa kata husika
 
mkuu tatizo la chadema ni sera na itikadi zao za ukabila udini na ukanda sio ofisi wala nn. Hebu angalia kama mwenyekiti wa chama anaendesha danguro ataweza kuukemea ushoga? Hayo ndio mambo ya msingi ambayo watu hawayataki

Mdini ni Kikwete na Lipumba bana unafikiri hatujui sisi
 
ndio lugha zenu mkishikwa sehemu mbaya
ni kweli hiyo hela ya Lumumba ina wachanganya hawa maccm! Lakini kumbuka au kwa kusaidia ni kwamba kama CDM imepoteza ni sawa. CDM inaamina ktk demokrasia hivyo kuna mahali magamba itabidi wapate kwa sababu mtaji wao mkubwa ni kutoelewa kwa baadhi yetu sisi watanzania.
 
mkuu tatizo la chadema ni sera na itikadi zao za ukabila udini na ukanda sio ofisi wala nn. Hebu angalia kama mwenyekiti wa chama anaendesha danguro ataweza kuukemea ushoga? Hayo ndio mambo ya msingi ambayo watu hawayataki

Wakati tuna rais anayelindwa na mashetani ya Kiongozi wa dini fulani anaitwa marehemu shehe Yahya
 
CDM ni genge lililosheni watu wasiotayari kupoteza uchaguzi hatakama hawakuwekeza; Mianzini daili zilikuwa tosha kwani CDM ilianza kujitokeza wakati wa kampeni mbaya zaidi kwa kutumia makada wasio wakazi wa kata husika
Duh! wameisha anza kuiga tabia zenu chafu, ama kweli CCM ni janga, walikuwa safi sana hawa jamaa! ili wasizidi kuharibiwa ni bora kukikataa CCM mapema
 
Back
Top Bottom