huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
Wamepewa UKAWA au CHADEMA?Pole
Inaoneka hiyo buku 7 huwa unawadhurumu family yako.wakikupa unasema haujapewa.ma ccm kwisha habari yao.nyingine zinakuja kutoka ujerumani.huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
Sunday, June 1, 2014
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesaini mkataba wa Sh milioni 700 na Conservative Peoples Party cha Denmark.
Hayo yalisemwa juzi na Katibu Mtendaji katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Victor Kimesera, wakati wa kutia saini mkataba huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.
âTunawashukuru sana kwa mchango huu tunaamini utaweza kuwasaidia akina mama wengi na vijana ambao wameonekana kuwa nyuma katika siasa ili na wao wawe na uwezo kisiasa,â alisema Kimesera.
--- via Ziro99 blog.
at 9:41 AM
Imeshawekwa chambo cha "kina mama wengi" ujuwe zote zinasukumwa kwenye NGO ya Josefina.
Mtakuja kusema.
Imeshawekwa chambo cha "kina mama wengi" ujuwe zote zinasukumwa kwenye NGO ya Josefina.
Mtakuja kusema.
huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
huo msaada ni kwa ajili ya ukawa..lakini utashangaa chadema watawazunguka cuf na nccr na kula pesa yote wenyewe
una akili za kitimoto