Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,566
Ulichokiongea nikinyume chake
1. A) katibu ccm Y. Makamba Capt-Jeshi
B) katibu ccm A. Kinana Gen-jeshi
C) Mwekiti ccm J. Kikwete mjeshi
D) Balozi uchina A. Shimbo mjeshi
Swali hawa woote wanajeshi kunauhusianogan kati ya ccm na jeshi?
2. Chagonja aliibuka mbele ya vyombo vya habari kulitangazia Taifa wafuasi wa cdm wamemuuwa D. MWANGOSI.
a) Tangazo lake uliliamin kwa vigezogan ilhal alidanganya?
3. Omar Mahita alikiuwa CUF kwa uzushi akitumia nafasi yake ya ukuu wa polisi
kwanini tusiamini bandiko hilo iwapo wakuu wa majeshi kila uchaguzi hutumika kuzusha uwongo, kupotosha umma nakukibeba waziwazi ccm?
Mfano IGP Mahita, Chagonja na Gen A. Shimbo.
Wewe umedandia meli kwa mbele, ukipigwa na wimbi sijui utamlilia nani, soma kwanza coment zilizotangulia ndipo ukoment jambo, sio unanzia katikati tu.