Nimeangalia taarifa ya habari ya itv ,wewe mtoa mada labda umepotosha mada yako kwa makusudi au kwa bahati mbaya kutokana na uelewa wako.
yule muheshimiwa wa jwtz ameelezea vizuri kabisa tena kwa umakini kuwa waandishi wa habari wawe makini wasiandike habari ambayo ni ya uongo kwani itapotosha jamii,kama habari ni za kweli jwtz wapelekewe taarifa wazifanyie kazi.
akaendelea kusema jeshi ni la watoto wa wakulima,wafanyakazi na wafanyabiashara kwahivyo ni jeshi la watanzania wote.
munaoleta habari hapa muwe makini musilete taarifa kwa nia ya uchochezi miongoni mwa watanzania na taasisi nyeti kama jwtz.
demokrasia idaiwe kwa misingi ya ukweli na amani sio kinyume chake,sio vizuri kuhusisha habari za kisiasa na jeshi,tuwapige vita waandishi wa habari wote wenye dhamira mbaya ya uchochezi kwani hawa ni sawa na ugonjwa wa ukoma na ikiwezekana wachukuliwe hatua kali bila kusubiri muda.
waandishi wa habari wa aina hii naweza kusema ni mamluki waliotumwa na watu wenye nia mbaya na tanzania,tuliona rwanda na kenya jinsi waandishi wenye nia mbaya walivyoleta uchochezi na madhara yake.