Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Ndio kinazidi kufa mkuuWao wanafikiri ukali wa Magufuli na kutumbua majipu ndio kutawabeba!
Huu ni mwanzo tu.
Wao wanafikiri ukali wa Magufuli na kutumbua majipu ndio kutawabeba!
Huu ni mwanzo tu.
Matokeo ya uchaguzi mdogo wa nafasi ya udiwani kata ya DOMA Kilosa Morogoro baada ya Diwani wa Kata hiyo CCM kufariki dunia Dec mwaka jana.Hongereni sana MAKAMANDA wa MOROGORO.
Akina Lizaboni? Wapo wanachungulia na kutoka nduki[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona kuko kimya sana ina maana wale vijana walishaachana jf?
Aaaaa mkuu acha ytani ina maana ufisadi uliofanyika ktk nchi hii ni hawa CDM?au ni siasa tuMajizi Chadema na nyuzi za kujifurahisha
Hii ni auto reply? Kila thread wewe maneno yako ni hayahayaMajizi Chadema na nyuzi za kujifurahisha
Majizi Chadema na nyuzi za kujifurahisha