CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

CHADEMA yamwekea pingamizi mgombea wa CCM Kalenga

Hii hapa ndiyo Mapingamizi kuhusu Mgimwa Godfrey:

1. Godfrey Mgimwa amezaliwa nje na kukulia nje ya nchi na hakuna documents zozote zinazopnyesha kuwa alishawahi kuomba uraia wa Tanzania au kukana uraia wa nje.

2. Baadhi ya wadhimini wake sio wapiga kura wa Kalenga (hawatokei Kalenga na hawaishi kalenga bali nje ya Kalenga) ni kinyume na kanuni kwenye fomu ya ugombea.

3. Kwenye fomu amejaza kuwa siku ya uteuzi ilikuwa tarehe 16 wakati siku ya uteuzi ni tarehe 18. Moja ya sharti la fomu ni "Kujaza kwa usahihi"

Hayo ni mapingamizi kwa Mgimwa kijana ambaye ameijua Kalenga baada ya kuja kushiriki kifo cha baba yake akitokea Ulaya.
 
UK_TZ.png
 
CDM tuache kushabikia mambo yasiyo ya msingi. Sasa tudeal na daftari la wapiga kura. Mbona ushindi utapatikana tu.
 
Hakuna anayetaka kupita bila kupingwa. Kinachofuatiliwa hapa ni sheria za nchi. Kama hakuna utata wa uraia ana haki ya kuchaguliwa lakini kama kuna utata hana haki.
Thibitisha basi kama ni raia wa Uingereza, au unameza tu mazima.
 
Nasikia Leticia Nyerere mbunge wa Chadema raia wa Marekani anaishi Marland uwa anakuja Tanzania kwenye vikao vya bunge tu kuchukuwa posho.

Umebugi meeen
Hamjifunzi nyie mnadhani Watanzania wanashobokea wauza sura? Jamaa anaongea na rafidhi shuti David Cameron. .....hapana kwakweli. Watanzania tunaweza kufanya vizuri zaidi
 
Hii hapa ndiyo Mapingamizi kuhusu Mgimwa Godfrey:

1. Godfrey Mgimwa amezaliwa nje na kukulia nje ya nchi na hakuna documents zozote zinazopnyesha kuwa alishawahi kuomba uraia wa Tanzania au kukana uraia wa nje.

2. Baadhi ya wadhimini wake sio wapiga kura wa Kalenga (hawatokei Kalenga na hawaishi kalenga bali nje ya Kalenga) ni kinyume na kanuni kwenye fomu ya ugombea.

3. Kwenye fomu amejaza kuwa siku ya uteuzi ilikuwa tarehe 16 wakati siku ya uteuzi ni tarehe 18. Moja ya sharti la fomu ni "Kujaza kwa usahihi"

Hayo ni mapingamizi kwa Mgimwa kijana ambaye ameijua Kalenga baada ya kuja kushiriki kifo cha baba yake akitokea Ulaya.
Huu ndiyo ushahidi Bavicha bana.
 
Umebugi meeen
Hamjifunzi nyie mnadhani Watanzania wanashobokea wauza sura? Jamaa anaongea na rafidhi shuti David Cameron. .....hapana kwakweli. Watanzania tunaweza kufanya vizuri zaidi
Bibie thibitisha basi kwa hiyo rafidhi yake ni kipimo cha uraia wake.
 
http://www.findmypast.co.uk/search/directories/results?directorFlag=false&electoralRollFlag=true&startYear=2002&endYear=2013&forenames=Godfrey+&_includeForenameVariants=on&surname=Mgimwa&_includeSurnameVariants=on&year=2000&YearTolerance=20&county=All&town=
We kipolo kweli huna unalojua kaa kimya.
 
haya huyu hapa hata UK anapiga kura pia

UK electoral registers
2002 - 2013
living-relatives.jpg

Results

Your search has returned 3 results.Search criteria used

First name(s) :Godfrey (Include variants)
Last name :Mgimwa
Years : 2000 (+/- 20 years)
County:All

refine search

[TABLE="width: 1"]
[TR]
[TH]Last name[/TH]
[TH]First name[/TH]
[TH]Year[/TH]
[TH]County[/TH]
[TH]Town[/TH]
[TH]Other occupants[/TH]
[TH]Record[/TH]
[TH][/TH]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #E8E8E8"]
[TD="class: sort"]Mgimwa[/TD]
[TD="class: sort"]Godfrey[/TD]
[TD="class: sort"]2009 - 2010[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]LEAH T MADDEN...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: sort"]MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"]GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"]2008[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]Aniceth T Jonathan...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #E8E8E8"]
[TD="class: sort"]MGIMWA[/TD]
[TD="class: sort"]GODFREY[/TD]
[TD="class: sort"]2011 - 2012[/TD]
[TD="class: sort"]London[/TD]
[TD="class: sort"]LONDON[/TD]
[TD]ALASTAIR E SHAW...[/TD]
[TD]VIEW[/TD]
[TD="class: narrower"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

© 2014 DC Thomson Family History, trading as findmypast.co.uk

SOURCE:
UK electoral registers 2002 - 2013 | Findmypast.co.uk

Ubarikiwe!! Maana nilikaa kimya nikajua ni majungu.... Hii haikubariki hata kidogo.. Hatutaki Muingereza aje atawale nchini kwetu... CCM wamezoea kukurupuka na hapa ndipo tutaona ni kwa jinsi gani Tume ya Uchaguzi inatenda haki...
 
Kwa hiyo Chadema mnataka kupita bila kupingwa hizi akili za gongo.

Hivi wewe ni lini utapata japo akili za kuazima? ina maana Kalenga vyama vyenye wagombea ni ccm na Chadema tu? wewe ni hasara kwa familia yako na ni mzigo kwa ccm.
 
Hivi wewe ni lini utapata japo akili za kuazima? ina maana Kalenga vyama vyenye wagombea ni ccm na Chadema tu? wewe ni hasara kwa familia yako na ni mzigo kwa ccm.
Asha Mohamed bana.
 
Wewe huna hadhi ya kuchangia hapa hadi urudishe kwanza rambirambi, mnafanya ufisadi hadi kwa wajane...!!!

aah aah aah nyie watu sasa mnamnyima raha member mwenzetu Lukosi, ivi kweli uzalendo aliojifunza LUkosi akiwa pale kwetu kaskazini CCP MOSHI anaweza kumtapeli mjane? mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kama Afande msitaafu, PC Lukosi anaweza kuwa kafanya shortcut kwenye maisha...yupo apa atajibu kama huu ni utani au kweli...na alisema wakati flani kuwa alimpa mh.chungaji Petro Msigwa,mbona huwa hamumuunganishi huyu?au ushaidi upo kuwa jamaa mzigo aliuzuia?
 
Back
Top Bottom