Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,173
- 17,633
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna. Hawatakaa kwa amani maisha yao yote
Laana au uchawi wa sikuzote wa ccm kwa wapinzani wake walio watetezi wa taifa na watanzania.Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna
wamemvua uanachama the terminator?Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika kikao cha mashauriano Mkoa wa Kilimanjaro, kilichoketi leo Mei 17, 2025 mjini Moshi.
Mwananchi limemtafuta Mchome kuhusu taarifa hizo ambapo amedai hana taarifa lakini huenda suala hilo likawa kweli kwa kuwa dalili zilianza kuonekana siku nne zilizopita alipoondolewa kwenye makundi sogozi ya WhatsApp kuanzia la Kanda ya Kaskazini, mkoa hadi wilaya.
Mchome amekutana na kadhia hiyo kipindi ambacho amekuwa na migogoro na chama chake hasa baada ya barua ya malalamiko dhidi ya baadhi ya viongozi wa sekretarieti na kamati kuu akidai walipitiswa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 likiwa halina akidi.
Malalamiko hayo ambayo aliyawasilisha ndani ya chama chake na nakala kwa msajili, yamefanyiwa kazi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambapo ameitaka Chadema kuitisha Baraza Kuu jipya ili kufanyia kazi upungufu huo.
Chanzo: Mwananchi
Toa uchafu woteChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika kikao cha mashauriano Mkoa wa Kilimanjaro, kilichoketi leo Mei 17, 2025 mjini Moshi.
Mwananchi limemtafuta Mchome kuhusu taarifa hizo ambapo amedai hana taarifa lakini huenda suala hilo likawa kweli kwa kuwa dalili zilianza kuonekana siku nne zilizopita alipoondolewa kwenye makundi sogozi ya WhatsApp kuanzia la Kanda ya Kaskazini, mkoa hadi wilaya.
Mchome amekutana na kadhia hiyo kipindi ambacho amekuwa na migogoro na chama chake hasa baada ya barua ya malalamiko dhidi ya baadhi ya viongozi wa sekretarieti na kamati kuu akidai walipitiswa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 likiwa halina akidi.
Malalamiko hayo ambayo aliyawasilisha ndani ya chama chake na nakala kwa msajili, yamefanyiwa kazi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambapo ameitaka Chadema kuitisha Baraza Kuu jipya ili kufanyia kazi upungufu huo.
Chanzo: Mwananchi
Saf sana, mamluk yote yaondoleweChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika kikao cha mashauriano Mkoa wa Kilimanjaro, kilichoketi leo Mei 17, 2025 mjini Moshi.
Mwananchi limemtafuta Mchome kuhusu taarifa hizo ambapo amedai hana taarifa lakini huenda suala hilo likawa kweli kwa kuwa dalili zilianza kuonekana siku nne zilizopita alipoondolewa kwenye makundi sogozi ya WhatsApp kuanzia la Kanda ya Kaskazini, mkoa hadi wilaya.
Mchome amekutana na kadhia hiyo kipindi ambacho amekuwa na migogoro na chama chake hasa baada ya barua ya malalamiko dhidi ya baadhi ya viongozi wa sekretarieti na kamati kuu akidai walipitiswa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 likiwa halina akidi.
Malalamiko hayo ambayo aliyawasilisha ndani ya chama chake na nakala kwa msajili, yamefanyiwa kazi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambapo ameitaka Chadema kuitisha Baraza Kuu jipya ili kufanyia kazi upungufu huo.
Chanzo: Mwananchi
Chair yuko selo, Vice yuko barabarani, katibu kwenye mafungoChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika kikao cha mashauriano Mkoa wa Kilimanjaro, kilichoketi leo Mei 17, 2025 mjini Moshi.
Mwananchi limemtafuta Mchome kuhusu taarifa hizo ambapo amedai hana taarifa lakini huenda suala hilo likawa kweli kwa kuwa dalili zilianza kuonekana siku nne zilizopita alipoondolewa kwenye makundi sogozi ya WhatsApp kuanzia la Kanda ya Kaskazini, mkoa hadi wilaya.
Mchome amekutana na kadhia hiyo kipindi ambacho amekuwa na migogoro na chama chake hasa baada ya barua ya malalamiko dhidi ya baadhi ya viongozi wa sekretarieti na kamati kuu akidai walipitiswa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 likiwa halina akidi.
Malalamiko hayo ambayo aliyawasilisha ndani ya chama chake na nakala kwa msajili, yamefanyiwa kazi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambapo ameitaka Chadema kuitisha Baraza Kuu jipya ili kufanyia kazi upungufu huo.
Chanzo: Mwananchi
Huyo mtoto uliyezaa na magufuli mpeleke ChatoLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna
Na vibaraka wake wanafuata.Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Viongozi wa Chadema ni MADIKTETAChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika kikao cha mashauriano Mkoa wa Kilimanjaro, kilichoketi leo Mei 17, 2025 mjini Moshi.
Mwananchi limemtafuta Mchome kuhusu taarifa hizo ambapo amedai hana taarifa lakini huenda suala hilo likawa kweli kwa kuwa dalili zilianza kuonekana siku nne zilizopita alipoondolewa kwenye makundi sogozi ya WhatsApp kuanzia la Kanda ya Kaskazini, mkoa hadi wilaya.
Mchome amekutana na kadhia hiyo kipindi ambacho amekuwa na migogoro na chama chake hasa baada ya barua ya malalamiko dhidi ya baadhi ya viongozi wa sekretarieti na kamati kuu akidai walipitiswa na Baraza Kuu Januari 22, 2025 likiwa halina akidi.
Malalamiko hayo ambayo aliyawasilisha ndani ya chama chake na nakala kwa msajili, yamefanyiwa kazi na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ambapo ameitaka Chadema kuitisha Baraza Kuu jipya ili kufanyia kazi upungufu huo.
Chanzo: Mwananchi
?Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Na watafukuzana sana hadi Lissu anatoka atajikuta yupo yeye na Lema tu! Dadeki!!Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna
Lissu haya akiwa peke yake ccm yote inajifungia chumbani huku ikipiga yowe la kuombq msaada polisi. Ccm bila vyombo vya Dola haijiwezi.Na watafukuzana sana hadi Lissu anatoka atajikuta yupo yeye na Lema tu! Dadeki!!
Tusubiri Pingamizi za Msajiri.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025.