Kiuhalisi chadema ikiingia ikulu itakuwa mbaya hata kuliko CCM kama wasemavyo chadomo kuwa ccm ni wabaya.ebu angalie ,leo ukiikosoa chadema utaambulia matusi au kuvuliwa uanachama ni kwamba tu hawana uwezo wa kukuteka na kukupoteza .wakiwa na jeshi na mamlaka kamili they will do worse kwa sababu watakuwa hawaambiliki.
LIST INAENDELEA
THIS IS UNSTABLE POLITICAL PARTY
Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama Chadema
Jumanne, Machi 10, 2015 — updated on Machi 09, 2021Tanzania: Wanachama 19 wa Chadema wavuliwa uanachama
Pre GE2025 John Mrema avuliwa uanachama wa CHADEMA
Aliyekuwa Naibu Meya Chadema avuliwa uanachama
Jumamosi, Aprili 28, 2018 — updated on Februari 21, 2021LIST INAENDELEA
THIS IS UNSTABLE POLITICAL PARTY