mchome avuliwa uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mchome akanusha kauli ya Mnyika kuwa wanalipwa milioni 2 ili kumchafua John Heche

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa, Lembrus Mchome, amesema wanachama wa chama hicho hawataki kuona ufisadi ukitokea ndani ya chama chao. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mchome amedai kuwa kuna fedha za wafanyabiashara zinazopelekwa kwa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yamvua Uongozi Lemburus Mchome

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025. Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika...
Back
Top Bottom