CHADEMA yamuumbua mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro

LILE LIMKUU LA MKOA LENYEWE LIMEKULA MPAKA HALIWEZI HATA KUTEMBEA KWA SASA, LINATIA HASARA SERIKALI MAANA HATA SHANGINGI ANALOTUMIA LAZIMA LITAKUWA LINAKULA MAFUTA ZAIDI MAANA LIMEBEBA MZIGO MKUBWA KULIKO UWEZO WAKE! amebakia kuzinduaFIESTA tu kwake, hivi ndio vitu vya maana!

ni huyo mwenye tracksuti nyeusi
Duuh, utadhani ni ndugu yake Komba!
 
Tatizo hapa ni Katiba ya nchi jinsi gani wananchi wanaweza wabana wawakilishi wao wasiwe wabadhirifu! Kama wananchi wanakubaliana na hizi cost na wahusika wamefuata taratibu kwanini RC analeta siasa? Kuna kitu kinaitwa retreat,je huyu mkuu wa mkoa anaelewa maana yake? Moja ya makosa makubwa alifanya Mwl. Nyerere ni kwa akili ndogo kwenda kuongoza akili kubwa.. Lazima nchi itakwama! Mtu mwenye akili za kitumwa ataongozaje mtu mchapa kazi na mwenye kutaka maendeleo?!
kweli kabisa mkuu. huwezi kuvuna pasipo kuwekeza. sasa kama watu wamekaa wakajadili wakaona ni vema wakapate uzoefu kutoka kwa watu wengine ambao wamepata sifa ya kuifanya miji yao ipendeze halafu mtu mmoja tu eti mkuu wa mkoa anawazuia bila sababu za msingi hiyo haikubaliki.huyo ni kikwazo. MBONA HAJAPENDEKEZA KUFUTWA KWA NAFASI YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA kwani kiukweli ni matumizi yasio ya lazima.
 
Ndugu zangu madiwani wa CHADEMA Moshi, kwa hiyo kama huyo Rais wa CCM anatangatanga hovyo kwa kufuja hela za wananchi na sisi CDM ndo tutangetange na kula hela za wananchi bila sababu? Hivi kweli tunahitaji madiwani wote kwenda Rwanda kujifunza usafi? hatuoni aibu? Tuache masihara jamani na tufanye mambo yenye msingi. Bora mngesema hata mnatumia hizo hela kukusanya nguvu ya wananchi wajitolee kufanyia usafi jiji la Moshi walau kwa siku mbili then muwanunulie chakula wale.

Kila mtu anajua usafi, tusidanganyane kwamba tunaenda kujifunza Rwanda. Mtoto akijinyea na wewe mtu mzima ukajinyea wakati unajua kabisa sio sahihi, sisi watu wazima wenzio tutakushangaa sana.

CHADEMA msiingie kwenye mkumbo wa CCM wa kufuja hela za wananchi bila sababu.

Acha mawazo mgando, hii study tour ni muhimu, mnafkiri mji wetu unakuaje msafi, ni serikali ya ccm? Tunatoa mawazo kutoka sehemu mbalimbali. By the way tunajiamini katika utendaji wetu na tuone kama wananchi hawatatuchagua tena kama tutaenda.
 
Ndugu zangu madiwani wa CHADEMA Moshi, kwa hiyo kama huyo Rais wa CCM anatangatanga hovyo kwa kufuja hela za wananchi na sisi CDM ndo tutangetange na kula hela za wananchi bila sababu? Hivi kweli tunahitaji madiwani wote kwenda Rwanda kujifunza usafi? hatuoni aibu? Tuache masihara jamani na tufanye mambo yenye msingi. Bora mngesema hata mnatumia hizo hela kukusanya nguvu ya wananchi wajitolee kufanyia usafi jiji la Moshi walau kwa siku mbili then muwanunulie chakula wale.

Kila mtu anajua usafi, tusidanganyane kwamba tunaenda kujifunza Rwanda. Mtoto akijinyea na wewe mtu mzima ukajinyea wakati unajua kabisa sio sahihi, sisi watu wazima wenzio tutakushangaa sana.

CHADEMA msiingie kwenye mkumbo wa CCM wa kufuja hela za wananchi bila sababu.

Tangu nasoma nimesikia watu wakikwepa kufundishwa kutumia vyoo.Ila siku zote nimeona vyoo vikiharibika na kuachwa vimejaa uchafuu hata kwa majengo mapya.Acheni upuuzi tumechoka na excuse zenu kuwa mnajua tumia vyoo just because mmezaliwa mjini na nyumbani vipo?Nyumbani mnaishia wasingizia mabinti na vijana wa kazi kuwa ndio hawajui tumia just because wametoka vijijini.MOshi is there because usafi kwao ni kitu muhimu sana.

Iam happy nilipitia ktk mazingira ya wenzetu ,nilijifunza tumia vyoo, kukaa mezani na mengine ambayo wanangu nao wanayapitia sasa.

Wabongo hawajui basic things kwa vile wanaviacha wakidhani wanavijua.Wenzetu hutatua mambo makubwa kwa kujifunza madogo.If CDm could boost revenue to 400mil toka 70mil.Why then mna complain?

Mkuu wa mkoa hawezi kuja na better ways ya kusave kiasi chini ya hizo 200mil.
 
Mimi naona mtoa mada yuko sahihi.
Meya anadai mipango yote ni halali na wanachoenda kujifunza kigali ni jinsi walivyoweza kubadili mfumo wa kutenga taka za kuteketeza na zakubadili na kuleta kipato kwa wananchi.
Mimi ningeelewa zaidi kama mngeuliza maswali yafuatayo.
1.je hao rwanda wamejifunza wapi.
2.je sheria imefuatwa.
3.je madiwani wanauhalali wa kutumia kiasi hicho.
4.je mkuu wa mkoa ana mamlaka ya kuzuia mipango halali ya madiwani.
5.mkuu wa mkoa anawezaje kuona ufisadi mmoja na kushindwa kuona fisadi nyingine katika mkoa huohuo.
 
Eti mkuu wa mkoa anasema hela zikanunue madawati,hajaziona za rada,dowans,meremetasafari za rais,magari ya kifahari nk.
amesahau pia uswis kuna bl kadhaa na waziri mkuu kutembea na msafara wa magari 50+ huo ni ufisadi wa kutisha
 
Mimi naona mtoa mada yuko sahihi.
Meya anadai mipango yote ni halali na wanachoenda kujifunza kigali ni jinsi walivyoweza kubadili mfumo wa kutenga taka za kuteketeza na zakubadili na kuleta kipato kwa wananchi.
Mimi ningeelewa zaidi kama mngeuliza maswali yafuatayo.
1.je hao rwanda wamejifunza wapi.
2.je sheria imefuatwa.
3.je madiwani wanauhalali wa kutumia kiasi hicho.
4.je mkuu wa mkoa ana mamlaka ya kuzuia mipango halali ya madiwani.
5.mkuu wa mkoa anawezaje kuona ufisadi mmoja na kushindwa kuona fisadi nyingine katika mkoa huohuo.
mkuu wangu umenena embu watujibu
 
Mkuu.
Umeuliza maswali ya msingi sana na mwenye akili timamu anatakiwa kuyaona haya kabla hajajibu/kuchangia kwa ushabiki. Jina lako la Mwanzo limenikumbusha mwl wangu wa history pale kolila high school alikuwa critical sana kwenye mambo ya msingi kama jinsi ulivyofanya hapa.

Pamoja sana kamanda.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Eti mkuu wa mkoa anasema hela zikanunue madawati,hajaziona za rada,dowans,meremetasafari za rais,magari ya kifahari nk.

Je anaweza kuelezea UNENE wake wa kupita kiasi kaupata wapi? Ameupata kwa mshahara kweli au "kama kawa" ufisadi ndani ya MAGAMBA?
 
ilikuwa muhimu sana kujibu hilo jambo na kuliweka sawa,bilaulijibu lingeonekana ni kweli
 
Jana niliona kupitia itv mkuu wa wilaya geita kagoma wananchi wasilipwe na mgodi eti pesa ni nyingi wakati mthaminishaji waserikali na wa mgodi walishamaliza kazi.
 
Je anaweza kuelezea UNENE wake wa kupita kiasi kaupata wapi? Ameupata kwa mshahara kweli au "kama kawa" ufisadi ndani ya MAGAMBA?

sijui mkewe anaweza sema madhara makubwa ya huu unene?Huyu sijui kama anatumia 10% ya uwezo wa ubongo wake kweli.Huo unene ni kulipa hasara taifa kwa kuagiza dawa nyingi za sukari,pressure na magonjwa mengine ya jinsi hii.Kwake yeye si hasara achilia mbali uzalishaji mdogo na kelele zakukoroma usiku.
 
mkuu wa mkoa ndio nini utawala huu wa kikoloni ndio tulioupinga tena bado hawa viongozi wa kubambikwa wasiokuwa hata na heshima mbele ya jamii wanatusumbua akili yetu
 
Ndugu zangu madiwani wa CHADEMA Moshi, kwa hiyo kama huyo Rais wa CCM anatangatanga hovyo kwa kufuja hela za wananchi na sisi CDM ndo tutangetange na kula hela za wananchi bila sababu? Hivi kweli tunahitaji madiwani wote kwenda Rwanda kujifunza usafi? hatuoni aibu? Tuache masihara jamani na tufanye mambo yenye msingi. Bora mngesema hata mnatumia hizo hela kukusanya nguvu ya wananchi wajitolee kufanyia usafi jiji la Moshi walau kwa siku mbili then muwanunulie chakula wale.

Kila mtu anajua usafi, tusidanganyane kwamba tunaenda kujifunza Rwanda. Mtoto akijinyea na wewe mtu mzima ukajinyea wakati unajua kabisa sio sahihi, sisi watu wazima wenzio tutakushangaa sana.

CHADEMA msiingie kwenye mkumbo wa CCM wa kufuja hela za wananchi bila sababu.
kwan raisi wako alivyokwenda ghana kujifunza nyanya ina maana ilula hawajui kulima?
 
Back
Top Bottom