everybody
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 337
- 103
Tangu nasoma nimesikia watu wakikwepa kufundishwa kutumia vyoo.Ila siku zote nimeona vyoo vikiharibika na kuachwa vimejaa uchafuu hata kwa majengo mapya.Acheni upuuzi tumechoka na excuse zenu kuwa mnajua tumia vyoo just because mmezaliwa mjini na nyumbani vipo?Nyumbani mnaishia wasingizia mabinti na vijana wa kazi kuwa ndio hawajui tumia just because wametoka vijijini.MOshi is there because usafi kwao ni kitu muhimu sana.
Iam happy nilipitia ktk mazingira ya wenzetu ,nilijifunza tumia vyoo, kukaa mezani na mengine ambayo wanangu nao wanayapitia sasa.
Wabongo hawajui basic things kwa vile wanaviacha wakidhani wanavijua.Wenzetu hutatua mambo makubwa kwa kujifunza madogo.If CDm could boost revenue to 400mil toka 70mil.Why then mna complain?
Mkuu wa mkoa hawezi kuja na better ways ya kusave kiasi chini ya hizo 200mil.
Issue hapa sio kujifunza ila tunajifunza kwa style gani. Sidhani kama ni busara madiwani wote kuandamana kwenda huko Rwanda. Aende Bibi au Bwana afya na afisa mipango miji then waje wawaelimishe hao waliobaki wakiwamo madiwani vyote walivyojifunza huko.
Sidhani kama ni justifiable kwamba kwa vile CHADEMA wamekusanya hela nyingi Moshi ndo wazitumie hovyo. Tuwe wakweli kama tunataka kuiendeleza hii nchi