Chadema: Yala njama dhidi ya serikali.

Chadema: Yala njama dhidi ya serikali.

nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..
Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...

Maneno haya ungekuwa unaongea wewe na vichaa wenzio mngeelewana unatuchosha bure chizi wewe
 
nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..
Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...

Umeonaeeeeeeee!!

Acha kuongea pumba!
 
Nia yako tusahau kuangalia filamu ya kova
hatudanganyiki we are for season 2
 
Eeh, imekuwa Chadema tena!Nyie si ndio mlitaka kuwatumia Al-shaabab wawadhuru Chadema last Uchaguzi, nyie jipendekezeni nao, Dunia itawafunza adabu!
CDM wamenza asubuhi ambapo wamesababisha ndege ya ATCL ivunjike dirisha la kioo cha upande wa kushoto wa rubani. Ndege hiyo ilitoka Dar kwenda Mwanza via KIA. Matokeo yake ikabidi iwe grounded palepale KIA leo hii asubuhi. Tunahisi chama hiki kina mahusiano ya moja kwa moja na Ali-Shababu.
 
Nimeamini wapenzi wengi wa CDM wapungufu wa akili na kutaka umaarufu wa kijinga hivi watu wamepoteza roho bado siasa zimewakaa kichwani haiwi wabunge wenu wametoka bungeni baada yule () kukataa kughairisha kiufupi hamueleweki i hate this union and cdm
 
meli ya mwaka 1984 mpaka leo hii inafanya kazi unategea nini mbona kuku anakushinda akili akiona giza linaingia anajua ni usiku anajongea ndani. ndege za ATCL ni mbovu nani hilo halijui? mmekodisha ndege mbovu mnategemea nini? hamtaki kufanya service ndege eti hamna hela mnategemea nini? acha upumbavu wenu usiyo na maana. mpaka upepo unauvuma baharini eti umesababishwa na chadema, duuh hii kali sasa. acheni kufukuza upepo na kivikimbia vivuli vyenu.

Great thinker service ya kio inafanyikaje?
 
nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..
Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...

Matatizo ya degedege la utotoni nikifuatiwa na tetekuwanga la ukubwani!
 
nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..
Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...

Mbaazi zikikosa......husingizia jua
 
Alafu Cdm mmetoka nje ya ukumbi leo kutaka umaarufu. Ngoja kesho mtamkoma Mama Ana Makinda, na Mabumba.
 
namuonea huruma mwakyembe mara ndege mara wameiba mafuta kwenye treni mara meli,.,,,,,hii ni dalili za laana ya ccm
 
nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE.. Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...

.

.
.

Kweli I see, mie jana jioni niliiona ile meli maeneo ya Kwamtogole ....watu waliokuwa wamevaa magwanda walikuwa wanatoboa kwa chini matindu madogomadogo...nadhani waliiba bandarini wakairudisha asubuhi sana!!
hawajamaa wabaya sana hawa!!

Hayo matundu ndiyo yaliyo zamisha ile meli!!

.

Kova, Zoka, kamata hao!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom