Kimbito nyama
Senior Member
- Apr 10, 2012
- 157
- 38
.......tena mwendawazimu
Atakamatwa akitubu kwa shekhe Ponda!
.......tena mwendawazimu
cha ajabu hata air hostess nao walikuwa ndani ya magwanda. Kweli CDM wanatisha
Great thinker service ya kio inafanyikaje?
nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..
Our take: Plz cdm achen kula njama ya kuzamisha vyombo vya baharini.. Uchunguz unaendelea ukiongozwa na kamanda kova.. 2nahuakika 2tawatia nguvuni 2 cdm...
dah!......na leo bac letu limepata pancha njiani,ikabidi tukae masaa matatu njiani. hawa chadema wanasababisha pancha hadi kwenye bac letu. duh!.......nyie cdm kwa kweli mnatupa shida sana... Ili mradi tu mtimize ile ahadi yenu ya nchi kutotawalika... Na habari zilizopo ni kuwa mmekula njama ya kudhamisha meli iliyokuwa ikielekea znz... Na hii kulingana na uchunguzi tuliofanya imebainika kuwa mliona wivu kwa jinsi ya serikali ya bara na znz ilivyolighulikia kwa umakin na uchunguz wa hali ya juu ikiambatana kuwawajibisha wote waliosababisha ajali ya MV SPICE..